Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu wengine...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA: BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA NA VIONGOZI WA VYAMA SIASA

  Na Yusef israelNamshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuweza kutufikisha hapa  toka tupate uhuru na toka nchi zetu mbili hizi zilizoweza kuungana na kuzaliwa taifa moja la jamhuri ya muungano  watu wa Tanzania,ni mambo mengi tumeshuudia mazuri  na mabaya natunapakaa na kuangalia nyuma  tunaona kweli kuna mazuri tumefanikiwa na kuna mambo ambayo tumeshindwa kuyatimiza au kuyatenda kwa sababu zetu wenyewe au makosa yetu wenyewe au sababu ya kutokuwa na uwezo wa kifedha.
Tanzania ya leo ina  wananchi...

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...

 

9 years ago

Michuzi

Haja ya Hoja: vyama vya siasa na hama hama ya wanachama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu

Mwaka huu tumeshuhudia uhamaji wa wanachama  na viongozi  wa vyama kuhama kutoka chama kimoja kwenda kingine kuliko kipindi chochote katika historia ya vyama vingi  nchini Tanzania. Wengi wametafsiri hali hiyo kuwa ni ukuwaji wa demokrasia. Jambo ambalo lina ukweli wa aina fulani. Lakini ukiangalia kwa undani wahamaji wa pande zote wamekuwa wakitoa sababu zinazofanana, na yumkini kuhama baada ya matukio yanayofanana kutokea katika  vyama vyao. Wengi wamehama mara baada kukosa nafasi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Barua ya wazi kwa wabunge na vyama vyote vya siasa na viongozi wote na kwa umma wa Tanzania.

Na mshurukuru Mungu kwa kunipa afya na uzima mpaka leo na mpaka kufikia hapa tulipofika na kuweza kuona miaka zaidi ya hamsini ya uhuru na miaka hamsini ya Muungano  na mpaka kufikia hatuwa ya kuweza kupata katiba mpaya au mchakato wa kuandika katiba mpya, Na wewe Bwana michuzi nashukuru kwa kazi yako unayoifanya ya kutupa matukio yanayotokea uko nyumbani kwa video na kwa picha,Mungu akurinde na akupe uzima na Afya.
Bwana michuzi wazungu wanasema  damu ni nzito kuliko maji...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Wingi wa Askari wa Usalama Barabarani na Matumizi Sahihi ya Muda wa Kazi na Rasilimali Watu

Siku za karibuni nimekua nikipita Barabara ya Morogoro kuanzia Ubungo hadi Mlandizi. Huu ni umbali wa kama 50Km hivi. Ajabu katika umbali huu kuna polisi wa usalama barabarani wengi sana kiasi cha kufanya barabara hii ionekane kama ni ya kuogofya au kuna ukaguzi maalum au operation tokomeza madereva wabovu. Hata hivyo, sijasikia kabisa uwepo wa operation hii, labda kama inafanyika kiintelejensia zaidi na kwa mwaka mzima. Katika kushangaa wingi wa askari hawa, nilimekua nikihesabu makundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani