Viongozi wa Siasa Muache Uswahili mtupatie katiba ya watu wote siyo ya CCM,AU CHADEMA,AU CUFU TUNATAKA KATIBA.
Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi27 Mar
Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
Tunataka Katiba ya Tanzania si ya CCM
BAADA ya takriban siku 40 za mivutano ya kuandaa kanuni na taratibu mbalimbali, kesho wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wataanza kupitia ibara 17 za rasimu ya Katiba mpya iliyoandaliwa...
10 years ago
Vijimambo
VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA

10 years ago
Vijimambo
TAMKO LA WANAWAKE NA KATIBA KWA VIONGOZI WA SIASA

11 years ago
Habarileo25 Jan
Chadema yaonya viongozi wanaokiuka katiba
CHAMA cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema ) kimewaonya viongozi wake, wakiwemo wabunge kuwa hakitasita kuwachukulia hatua za kinidhamu iwapo watabainika kwenda kinyume na Katiba na taratibu za chama hicho.
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
CHADEMA: CCM inavuruga katiba
MWENYEKITI wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema kuwa chama cha siasa, taasisi, asasi yoyote ya kiraia kuweka msimamo wake kwenye hatua ya sasa ya...
10 years ago
Mwananchi09 Jul
Butiku: Viongozi CCM magwiji wa kuvunja Katiba
11 years ago
Mwananchi27 Jan
Chadema waitaka CCM isikwamishe Katiba Mpya
11 years ago
VijimamboHOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.
Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...