hoja ya haja: Tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania Linaturudisha Nyuma
Barua ya Wazi kwa Uongozi wa CCT juu ya Tamko la Mapatano ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 48 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania la tarehe 3 Julai, 2014.
• Sio la Kiponyaji, linatonesha Madonda• Watu wa Mungu hawategemewi Kupotosha, Labda Wamepotoshwa
Na John Nkhundi Si kawaida yangu kulumbana na viongozi wa dini kwa sababu ya heshima waliyonayo katika jamii na matumaini ya waumini wao kwao. Hata hivyo, leo nimelazimika kuandika baada ya kusoma tamko la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi09 Mar
HOJA YA HAJA: kampeni ya kupambana na ukuda Tanzania
Ankal naomba nipe nafasi nitangaze nia yangu ya kuanzisha kampeni ya kupambana na UKUDA hapa Tanzania. Ruksa kunisahihisha bila kuchafua hali ya hewa; ila nielewavyo mimi UKUDA ni hali ya kuwa na roho mbaya, roho ya kwa nini, kukatishana tamaa, na pia kutopenda maendeleo ya wengine - wakati MKUDA mwenyewe akibakia kama alivyo.
Kwa mtazamo huo huo, MKUDA ni mfuasi wa hayo mambo niliyotaja hapo juu. Na ndio kampeni hii itakapoelekezwa, na nitahitaji sana msaada wa mawazo ya wadau wa namna ya...
10 years ago
Michuzi19 Jan
10 years ago
Michuzi04 Dec
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
Ankal,
mosi naomba nichukue wasaa huu kukushukuru kwa kazi nzuri ya kutuhabaraisha wana ughaibuni. Unatufikishia habari za nyumbani zinazotufariji tulio mbali na nyumbani. Ankal kabla kuendelea zaidi, napenda niseme machache ya moyoni kutokana na mada nzito ya juzi kutoka kwa kijana wetu mahiri john ,mashaka
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Michuzi29 Jun
HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU
Ankal pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbali mbali zinazo tuhusu watanzania, napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Kikwete iliyopewa dhamana na watanzania kuwaonea huruma watanzania kwakuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye maonesho ya SABASABA.
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...

Michuzi18 Feb
HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI
MIMI NI MTANZANIA...
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...

Michuzi12 Aug
Hoja ya haja: DIASPORA NA URAI PACHA (dual citizenship)
Na Ndugu Kagutta N.Maulidi
![](https://2.bp.blogspot.com/-Zg_1QJJisnU/U-nzzLjVMjI/AAAAAAAAHQM/fjncnJPMcRc/s1600/487578_10202477604054816_2061004118_n.jpg)
Tunapoendelea kufuatilia majadiliano ya wajumbe maaluum wa bunge la katiba si vibaya tukaweka msisitizo au kuwakumbusha wajumbe wetu kuhusu mada iliyopo katika rasimu ya katiba sura ya tano inayozungumzia urai pacha.
Nchi yetu bado haitambui uraia wa nchi mbili, kwa maana kuwa ukichukua uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya Urai wako wa Tanzania. Tunashukuru kuwa swala hili limeingizwa katika rasimu ya pili ya katiba,ili liweze kujadiliwa .Sisi Watanzania...
11 years ago
Michuzi23 Feb
Hoja ya Haja kuhusiana na matumizi ya majina ya asili ya kibantu
Habari za kazi Ankal.
Katika kipindi cha wiki moja nimekuwa nikitazama tamthilia ya Kiswahili inayoitwa The team(wengi watakuwa wanaifahamu). Napenda kuwapongeza watayarishaji na waigizaji wa tamthilia hii kutokana na ufanisi waliouonyesha katika kuiandaa tamthilia.
Kama Mtanzania nimevutiwa na kujivunia kwa mengi,mojawapo ikiwa ni matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili,kitu ambacho ni vigumu kukiona katika filamu zingine au katika maisha ya kila siku.
Hoja yangu ni juu ya majina...

Michuzi06 Mar
hoja ya haja: Stendi ya Mabasi ya Mikoani Mbezi Luis au Luguruni?
Moja ya kero kubwa hapa Dar ni msongamano unaotokana na kutopangilia miundombinu na huduma vizuri. Kwenye magazeti ya siku za karibuni, imeripotiwa kuwa mpango wa kujenga stendi ya mabasi yaendayo mikoani eneo la Mbezi Luis umekwama kwa sababu eneo lile halifai kutokana na kuwepo mkondo wa maji.
Nimekuwa najiuliza kwa nini kujengwa stendi pale mahali hajapapimwa (hivyo ni vigumu kujengwa huduma za mahoteli, nk na kumwaga maji taka)... wakati mbele kidogo tu pale Luguruni kuna eneo kubwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania