Walimu wamvamia Mkurugenzi Dar
ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
11 years ago
Mwananchi08 May
Walimu wafunga ofisi ya mkurugenzi wa Igunga
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Walimu Igunga wafunga ofisi ya Mkurugenzi
WALIMU zaidi ya 125 wa shule mbalimbali wilayani Igunga mkao wa Tabora, wamefunga ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara na posho zao. Hatua hiyo, iliwalazimu wafanyakazi...
10 years ago
Mwananchi11 Aug
NYANZA: Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Walimu wamfungia ofisini mkurugenzi Igunga
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Mkurugenzi apewa siku 14 kurejesha fedha za walimu
HALIMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani hapa imepewa siku 14 kurudisha fedha sh milioni 350 zilizotafunwa na Halimashauri hiyo ambazo walikatwa walimu wa Mkoa huo kwa ajili ya mikopo ambayo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_iKEss8yoAE/Xk1CsMBOQ9I/AAAAAAALeWs/auioS5LJ7c0ya7P6NfC_MWEk-pL9m1jFwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MKURUGENZI JIJI LA DODOMA AAHIDI KUWAPATIA PIKIPIKI WALIMU WANAOTEMBEA UMBALI MREFU
KATIKA kuongeza motisha ya ufundishaji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi ameahidi kuwapatia pikipiki walimu ambao wamekua wakitembea umbali mrefu kwenda mashuleni.
Kunambi ametoa ahadi hiyo leo katika uzinduzi wa shule ya msingi Mavunde ambayo imejengwa kwa ushirikiano wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Halmashauri ya Jiji hilo.
Akizungumza mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Kunambi amesema kwa kutambua...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VErSKn22Ir0/XmxkmSF3HYI/AAAAAAALjB4/RWbCXdaCjWow0jsUFl62Hj5MiffICdTLACLcBGAsYHQ/s72-c/MWALIMU%2BKUBWA.jpg)
MKURUGENZI MAKAMBAKO KUTOA MOTISHA KWA WALIMU WATAKAOFAULISHA WANAFUNZI KATIKA MASOMO YAO
Mkurugezi wa halmashauri ya mji Makambako mkoani Njombe, Paulo Malala ametoa motisha kwa walimu watakaoweza kufaulisha wanafunzi katika masomo yao kwa kupata alama A ambapo watapata posho ya shilingi elfu hamsini kwa kila mwanafunzi atakayepata alama hiyo katika somo lake.
Mkurugenzi aliyasema hayo Hayo katika kikao cha tathimini ya elimu ya halmashauri hiyo na kusema kuwa motisha hiyo ni chachu kwa walimu kwani itawapelekea kufanya juhudi katika kufundisha ili...
11 years ago
Habarileo10 Jan
Abiria wa treni wamvamia RC
ZAIDI ya abiria 500 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Kigoma kwenda Dar es Salaam jana waliandamana hadi Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi wakitaka watafutiwe usafiri mbadala baada ya kukwama stesheni mbalimbali kwa zaidi ya siku saba.