Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi

Walimu zaidi ya 100 wa shule za msingi na sekondari wilayani Sengerema mkoani Mwanza jana, waliandamana hadi katika ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo kudai malimbikizo ya fedha zao yanayofikia Sh1.1 bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi

Walimu 75 wa shule za msingi na sekondari wamezingira ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakitaka kujua hatima ya kupandishwa kwao madaraja ya utumishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Igunga wafunga ofisi ya Mkurugenzi

WALIMU zaidi ya 125 wa shule mbalimbali wilayani Igunga mkao wa Tabora, wamefunga ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara na posho zao. Hatua hiyo, iliwalazimu wafanyakazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu wafunga ofisi ya mkurugenzi wa Igunga

 Zaidi ya walimu 100 wanaofundisha shule mbalimbali wilayani Igunga, wamefunga Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara yao na posho wanazodai.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodaboda wavamia ofisi za CHADEMA

MADEREVA wa Bajaj na pikipiki jana walivamia Ofisi za  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Makao Makuu kuwasilisha malalamiko yao dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanachama wavamia ofisi za CUF Dar

WANACHAMA wa Chama cha Wananchi (CUF) wamevamia makao makuu ya chama hicho leo asubuhi na kusababisha kikao cha mwenyekiti Profesa Ibrahim Lipumba na wanahabari kuhairishwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wenye malori ya mchanga wavamia ofisi ya Jiji

Wafanyakazi wa Ofisi ya Jiji la Mbeya jana walikumbwa na taharuki baada ya kuvamiwa na wafanyabiashara wa malori ya kubeba mchanga karibu 20 wakiwa na vijana wao, waliofika katika ofisi hiyo huku wakipiga kelele.

 

10 years ago

Habarileo

WanaCCM wavamia ofisi wakihoji kuenguliwa Aeshi

WAKAZI na wapigakura wa Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa wamevamia Ofisi ya CCM wilaya ya Sumbawanga Mjini, wakidai kupewa maelezo ya kina kuhusu kuenguliwa jina la mbunge aliyemaliza muda wake, Aeshi Hilaly.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji wavamia ofisi wa serikali Hong Kong

Wanaharakati wanaopigania demokrasia katika eneo la Hong Kong, wamesababishwa ofisi za serikali kufuingwa asubuhi ya leo kufuatia usiku wenye ghasia kwenye mitaa.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wamvamia Mkurugenzi Dar

Ofisa Utumishi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Godfrey Mugomi (kulia) akizungumza na baadhi ya walimu wa manispaa hiyo walioandamana jana kwenda ofisi ya Mkurugenzi kushinikiza madai yao mbalimbali, likiwamo la kupandishwa madaraja, uhamisho na huduma za matibabu. (Picha na Mroki MrokI).ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani