Mkurugenzi apewa siku 14 kurejesha fedha za walimu
HALIMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani hapa imepewa siku 14 kurudisha fedha sh milioni 350 zilizotafunwa na Halimashauri hiyo ambazo walikatwa walimu wa Mkoa huo kwa ajili ya mikopo ambayo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Mkurugenzi apinga kurejesha fedha
Na Chibura Makorongo, Itilima
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, Abdallah Malela, amepinga agizo la kurejesha fedha za halmshauri mpya ya Itilima zilizotolewa na Hazina.
Pia anadaiwa kuwatimua ofisini kwake madiwani wa Itilima waliokwenda kudai fedha hizo.
Kauli hiyo ilitolewa katika baraza la madiwani wa halmashauri ya Itilima na Makamu Mwenyekiti wa Halmshauri, Khamis Mughata, ambaye alisema kamati yake ilishindwa kudai fedha hizo kutokana na mkurugenzi huyo kuwafukuza...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-WnbasoaHsbA/VAW5og_eTkI/AAAAAAAABlY/aDDpMybvagA/s72-c/kamamba.jpg)
Mkurugenzi mambo ya kale apewa tunzo
Na Mwandishi Wetu
MKURUGENZI wa Mambo ya Kale katika Wizara ya Maliasili na Utalii, Donatius Kamamba ametunukiwa tunzo ya kimataifa ya ‘The knight Cross in the Order of Arts and Letters’ na serikali ya Ufaransa.
Tunzo hiyo imetokana na mchango mkubwa alioutoa katika kulinda na kuendeleza urithi wa utamaduni nchini na duniani kwa ujumla katika kipindi cha miaka 33 aliyoitumikia sekta ya malikale ndani na nje ya nchi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WnbasoaHsbA/VAW5og_eTkI/AAAAAAAABlY/aDDpMybvagA/s1600/kamamba.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mykYb_A5mMI/Xr6HuaBDzvI/AAAAAAALqVc/wrTLFOVC4WA5wo0dYyDyoafcK0VaaoD7wCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200326_123154-730x375.jpg)
TAKUKURU YAWATAKA VIONGOZI TFF KUREJESHA FEDHA WALIZOZICHUKUA.
Yassir Simba, Michuzi Tv
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFG kuzirejesha fedha walizochukua kabla hatia nyingine hazijafuata.
Hatua hiyo imekuja baada ya TAKUKURU kudai Shirikisho limekuwa na matumizi mabaya ya fedha ikiwemo fedha zilizotolewa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON ya Vijana chini ya Miaka 17 yaliyofanyika mwaka jana hapa nchini.
Akizungumza na vyombo vya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UDvljxFyu9s/XnMBIC7kDOI/AAAAAAALkYc/TURKrI9kTe0w4wNJHUrJYyILo13Xe0qBACLcBGAsYHQ/s72-c/00c296e7-0f97-4761-8d7e-8699134f2163.jpg)
TAKUKURU KAGERA WALIVYOFANIKISHA KUREJESHA FEDHA ZA WASTAAFU KUTOKA TAASISI YA MIKOPO .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hapa Nchini TAKUKURU Mkoa wa Kagera inaendelea kuchunguza na kubaini Taasisi za kifedha ambazo zinajihusisha na Utoaji wa Mikopo kwa Riba kubwa tofauti na mikataba husika, huku Wananchi wakisahuriwa kukopa Fedha Benki ambazo riba zao ni nafuu.
Ushauri huo uliotolewa na Kaimu Mkuu wa Takukuru,Mkoa wa Kagera,Ndg Hassan W.Mossi ammbae amewataka wananchi na wastaafu kuwa makini pindi wanapokopa kwa kampuni za ukopeshaji, ...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
10 years ago
Habarileo10 Jan
Walimu wamvamia Mkurugenzi Dar
ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Walimu Igunga wafunga ofisi ya Mkurugenzi
WALIMU zaidi ya 125 wa shule mbalimbali wilayani Igunga mkao wa Tabora, wamefunga ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara na posho zao. Hatua hiyo, iliwalazimu wafanyakazi...
11 years ago
Mwananchi08 May
Walimu wafunga ofisi ya mkurugenzi wa Igunga