Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAKUKURU KAGERA WALIVYOFANIKISHA KUREJESHA FEDHA ZA WASTAAFU KUTOKA TAASISI YA MIKOPO .

Na Abdullatif Yunus -  Michuzi TV.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hapa Nchini TAKUKURU Mkoa wa Kagera inaendelea kuchunguza na kubaini Taasisi za kifedha ambazo zinajihusisha na Utoaji wa Mikopo kwa Riba kubwa tofauti na mikataba husika, huku Wananchi wakisahuriwa kukopa Fedha Benki ambazo riba zao ni nafuu.

Ushauri huo uliotolewa na Kaimu Mkuu wa Takukuru,Mkoa wa Kagera,Ndg Hassan W.Mossi ammbae amewataka wananchi na wastaafu kuwa makini pindi wanapokopa kwa kampuni za ukopeshaji, ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAWATAKA VIONGOZI TFF KUREJESHA FEDHA WALIZOZICHUKUA.


Yassir Simba, Michuzi Tv

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFG kuzirejesha fedha walizochukua kabla hatia nyingine hazijafuata.

Hatua hiyo imekuja baada ya TAKUKURU kudai Shirikisho  limekuwa na matumizi mabaya ya fedha ikiwemo fedha zilizotolewa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON ya Vijana chini ya Miaka 17 yaliyofanyika mwaka jana hapa nchini.

Akizungumza na vyombo vya...

 

5 years ago

CCM Blog

TAKUKURU YAWAAMURU VIONGOZI WA TFF KUREJESHA FEDHA ALIZOZITOA RAIS MAGUFULI KUSAIDIA MAANDALIZI MICHUANO YA VIJANA AFCON



Yassir Simba, Michuzi Tv
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFG kuzirejesha fedha walizochukua kabla hatia nyingine hazijafuata.
Hatua hiyo imekuja baada ya TAKUKURU kudai Shirikisho  limekuwa na matumizi mabaya ya fedha ikiwemo fedha zilizotolewa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON ya Vijana chini ya Miaka 17 yaliyofanyika mwaka jana hapa nchini.
Akizungumza na vyombo vya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWANAWAKE wametakiwa kujiunga katika taasisi za fedha ambazo zinaainisha mikopo ya wajasiriamali hiyo itasaidia wanawake kujikwamua na umasikini.
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus  wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbinu mpya kuwabana wanaokwepa kurejesha mikopo

>Serikali imetangaza kuwa haitawaruhusu wahitimu wa elimu ya juu wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kwenda nje ya nchi kwa masomo zaidi au kufanya kazi mpaka watakapomaliza kulipa madeni yao.

 

11 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MPANGO WA MIKOPO YA WASTAAFU ZANZIBAR


VIONGOZI wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mhe. Balozi Seif Ali Idd(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kwa kushirikiana na TPB, uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View iliyopo Kilimani mjini Zanzibar. WAFANYAKAZI wa Benki Posta Tanzania (TPB) wakiwa katika uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kupitia Benki hiyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF na mikopo isiyo dhamana kwa wastaafu

“NIKIWA katika maombi huku nikilia, nikimuomba Mungu anisaidie nipate pesa mwanangu aweze kwenda chuo, nilisikia ujumbe ukiingia katika simu yangu ya mkononi. “Baada ya kumaliza maombi, nilifungua ujumbe  na kuusoma,...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAOKOA SH. MILIONI 46,500,000 ZA WALIMU WASTAAFU


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh.22,500,000/= Mwalimu Loth Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida baada ya kudhulumiwa na mkopeshaji haramu.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh. 24,000,000/= Mwalimu Seleman Tyea Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida.Mwalimu Seleman Tyea Mwangu, akiwa amebeba maburungutu yake ya pesa baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani