PSPF na mikopo isiyo dhamana kwa wastaafu
“NIKIWA katika maombi huku nikilia, nikimuomba Mungu anisaidie nipate pesa mwanangu aweze kwenda chuo, nilisikia ujumbe ukiingia katika simu yangu ya mkononi. “Baada ya kumaliza maombi, nilifungua ujumbe na kuusoma,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ug6ORo4NSNQUKt76SdYmIE34ekKQ1ZcNpod8AIpjKotOkbT96ssBEvK6Ygpm0JiJRAr1PvqXIOXaQuHceCx3-THEIcVC75fW/AdamMayingu.jpg?width=650)
PSPF, BENKI YA POSTA WAZINDUA HUDUMA YA MKOPO KWA WASTAAFU
10 years ago
Michuzi18 Aug
Waziri Gaudensia Kabaka aipongeza TPB kutoa mikopo kwa wastaafu
![Kutoka kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TPB), Sabasaba Moshingi, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na baadhi ya viongozi meza kuu wakiwa wameshikana mikono na kuinyanyua juu ikiwa ni ishara ya kuwaunganisha wastaafu kwenye fursa mara baada ya uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0079.jpg)
![Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akizungumza katika uzinduzi wa mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF leo jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0071.jpg)
10 years ago
MichuziMH.HAMAD RASHID AWAASA WANAFUNZI KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ILI KUPATA MIKOPO YA ELIMU NA MIKOPO YA KUANZIA MAISHA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s72-c/b7.jpg)
PSPF YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s1600/b7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-r2KZ9K6lTIw/VImp0oam9YI/AAAAAAACwUU/oPNublCiqU0/s1600/b1.jpg)
11 years ago
Habarileo21 Jun
PSPF, TPB kukopesha wastaafu
MFUKO wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na Benki ya Posta Tanzania (TPB) wamezindua mpango maalumu wa kutoa mikopo kwa wastaafu.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mfV8OQzpk6w/U81NyiAiSGI/AAAAAAAF4cY/OwgQXFm9Fwg/s72-c/unnamed+(1).jpg)
UZINDUZI WA MPANGO WA MIKOPO YA WASTAAFU ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-mfV8OQzpk6w/U81NyiAiSGI/AAAAAAAF4cY/OwgQXFm9Fwg/s1600/unnamed+(1).jpg)
VIONGOZI wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mhe. Balozi Seif Ali Idd(hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mikopo ya Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kwa kushirikiana na TPB, uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View iliyopo Kilimani mjini Zanzibar.
![](http://2.bp.blogspot.com/-RwcigNrZVvI/U81N3BWx1RI/AAAAAAAF4dQ/L7Hk0qJ6Ul4/s1600/unnamed+(2).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UDvljxFyu9s/XnMBIC7kDOI/AAAAAAALkYc/TURKrI9kTe0w4wNJHUrJYyILo13Xe0qBACLcBGAsYHQ/s72-c/00c296e7-0f97-4761-8d7e-8699134f2163.jpg)
TAKUKURU KAGERA WALIVYOFANIKISHA KUREJESHA FEDHA ZA WASTAAFU KUTOKA TAASISI YA MIKOPO .
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa hapa Nchini TAKUKURU Mkoa wa Kagera inaendelea kuchunguza na kubaini Taasisi za kifedha ambazo zinajihusisha na Utoaji wa Mikopo kwa Riba kubwa tofauti na mikataba husika, huku Wananchi wakisahuriwa kukopa Fedha Benki ambazo riba zao ni nafuu.
Ushauri huo uliotolewa na Kaimu Mkuu wa Takukuru,Mkoa wa Kagera,Ndg Hassan W.Mossi ammbae amewataka wananchi na wastaafu kuwa makini pindi wanapokopa kwa kampuni za ukopeshaji, ...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
PSPF yakaribisha maombi mikopo ya nyumba
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umewataka wajasiriamali waliojiunga kupitia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) kuanza kukopa nyumba zinazojengwa na mfuko huo. Akizungumza na Tanzania Daima jana...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-w3XZMinggZs/VUNxY743_cI/AAAAAAAHUes/huYv7T34hvI/s72-c/unnamed%2B(61).jpg)
BODI YA MIKOPO YAANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO KUTOKA KWA WANAFUNZI KWA MWAKA WA MASOMO 2015-2016
![](http://3.bp.blogspot.com/-w3XZMinggZs/VUNxY743_cI/AAAAAAAHUes/huYv7T34hvI/s1600/unnamed%2B(61).jpg)
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Mei 1, 2015) imetoa mwongozo kwa wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo na ruzuku kwa ajili ya mwaka wa masomo 2015/2016 unaotarajiwa kuanza miezi michache ijayo.
Kwa mujibu wa mwongozo huo, ambao unapatikana katika tovuti ya Bodi (www.heslb.go.tz), waombaji wote wamepewa takribani miezi miwili kuwasilisha maombi yao kuanzia Jumatatu, Mei 4, 2015...