Walimu wamfungia ofisini mkurugenzi Igunga
Zaidi ya walimu 100 wanaofundisha katika shule za msingi na sekondari Wilaya ya Igunga, jana walimfungia ofisini Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Sisti Kessy kwa zaidi ya saa tatu wakimshinikiza kuwalipa mishahara yao ya mwezi Aprili na Mei mwaka huu wanayoidai.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 May
Walimu wafunga ofisi ya mkurugenzi wa Igunga
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Walimu Igunga wafunga ofisi ya Mkurugenzi
WALIMU zaidi ya 125 wa shule mbalimbali wilayani Igunga mkao wa Tabora, wamefunga ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga wakishinikiza kulipwa mishahara na posho zao. Hatua hiyo, iliwalazimu wafanyakazi...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI MKUU MPYA WA MSD BRIG. JEN MHIDIZE AWASILI OFISINI
Mkurugenzi Mkuu mpya wa MSD Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize amepokelewa ofisini kwake, Keko Dar es Salaam na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD Bw. Laurean Bwanakunu.
Aidha Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize, amekutana na kuzungumza na Menejimenti ya Bohari ya Dawa (MSD).
Brig. Jen. Dkt. Gabriel Sauli Mhidize aliteuliwa tarehe 3 may,2020 na Rais John Magufuli kushika nafasi hiyo.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gmh0C6-ZHYE/U4bXzGd5qDI/AAAAAAAFmE4/yYu3ppcRY5A/s72-c/20140527_113139.jpg)
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Amtembelea Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Ofisini kwake
![](http://4.bp.blogspot.com/-Gmh0C6-ZHYE/U4bXzGd5qDI/AAAAAAAFmE4/yYu3ppcRY5A/s1600/20140527_113139.jpg)
Mazungumzo yao yalihusu maandalizi ya kongamano la uwekezaji katika sekta ya nyumba litakalofanyika Jumeirah Madnat Hotel, Dubai. Kongamano hilo limeandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai kwa kushirikiana na Shirika la Taifa la Nyumba (NHC).
Makampuni makubwa ya sekta ya nyumba hapa Dubai...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
10 years ago
Habarileo10 Jan
Walimu wamvamia Mkurugenzi Dar
ZAIDI ya walimu 100 wa shule za msingi na sekondari za Manispaa za Kinondoni, Dar es Salaam jana wameandamana hadi katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo wakitaka kutekelezewa madai mbalimbali wanayoidai manispaa hiyo, zikiwamo fedha za likizo pamoja na kupandishwa madaraja.
10 years ago
Mwananchi11 Aug
NYANZA: Walimu wavamia ofisi ya mkurugenzi
10 years ago
Tanzania Daima23 Oct
Mkurugenzi apewa siku 14 kurejesha fedha za walimu
HALIMASHAURI ya Wilaya ya Geita mkoani hapa imepewa siku 14 kurudisha fedha sh milioni 350 zilizotafunwa na Halimashauri hiyo ambazo walikatwa walimu wa Mkoa huo kwa ajili ya mikopo ambayo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_iKEss8yoAE/Xk1CsMBOQ9I/AAAAAAALeWs/auioS5LJ7c0ya7P6NfC_MWEk-pL9m1jFwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
MKURUGENZI JIJI LA DODOMA AAHIDI KUWAPATIA PIKIPIKI WALIMU WANAOTEMBEA UMBALI MREFU
KATIKA kuongeza motisha ya ufundishaji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi ameahidi kuwapatia pikipiki walimu ambao wamekua wakitembea umbali mrefu kwenda mashuleni.
Kunambi ametoa ahadi hiyo leo katika uzinduzi wa shule ya msingi Mavunde ambayo imejengwa kwa ushirikiano wa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Halmashauri ya Jiji hilo.
Akizungumza mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Kunambi amesema kwa kutambua...