Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki kiduchu Zanzibar

Waandaaji wa michuano Kombe la Mapinduzi wamelalamikia kitendo cha mashabiki kuingia ‘kiduchu’ uwanjani huku wakionekana wakiishobokea zaidi timu ya Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia posho kiduchu kucheza halaiki Zanzibar

Wanafunzi 200 wa shule za msingi Zanzibar walioshiriki kucheza halaiki ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wamelalamika kulipwa viwango vidogo vya posho kulinganishwa na wenzao kutoka Tanzania Bara.

 

9 years ago

Habarileo

Mashabiki kwenda Zanzibar kuishangilia

KUNDI la mashabiki wa soka nchini limejipanga kwenda Zanzibar kushuhudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars na Kenya.

 

10 years ago

Mtanzania

Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar

Diamond-PlatnumzNA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...

 

11 years ago

Mwananchi

CAF: Azam yashinda kiduchu

>Azam imeanza vema mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CHAN) baada ya kuichapa Ferroviario kwa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tangasisi wasusia fidia kiduchu

WAKAZI wa Mwambani, Kata ya Tangasisi, wilayani Tanga wameelezea kutoridhishwa na fidia waliyolipwa ili kupisha ujenzi wa reli kwenye Bandari mpya ya Mwambani. Wakazi hao zaidi ya 200 wanaoishi kandokando...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yasema madini ‘kiduchu’ yamechimbwa

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, amesema asilimia 10 ya madini yaliyopo nchini ndiyo yaliyochimbwa tangu shughuli za uchimbaji zianze.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaongoza kwa bajeti kiduchu ya elimu

IMEELEZWA kuwa Tanzania ni nchi inayotenga bajeti ndogo katika sekta ya elimu barani Afrika ukilinganisha na nchi nyingine na kusababisha kushuka kwa kiwango cha elimu nchini. Hayo yamebainishwa jana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wahoji wizara kupewa fedha kiduchu

>Mjadala wa Kikao cha 12 cha Bunge la Bajeti jana ulitawaliwa na vilio vya kamati za Bunge na wabunge kuhoji sababu za Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto kupewa fedha kidogo ya maendeleo, huku Wizara ya Kazi na Ajira ikikosa kabisa fungu kutoka Hazina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani