Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashabiki kwenda Zanzibar kuishangilia

KUNDI la mashabiki wa soka nchini limejipanga kwenda Zanzibar kushuhudia mechi ya kirafiki kati ya timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars na Kenya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BARUA YA WAZI YA MOYES KWENDA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

Kocha wa Manchester United, David Moyes. Kocha wa Manchester United David Moyes ameandika barua ya wazi kwa mashabiki wa klabu hiyo akielezea kwamba msimu wake wa kwanza ndani ya klabu umekuwa m'bovu zaidi kuliko ilivyotegemewa. Akiwasifu mashabiki kwa uvumilivu wao, Mscotish ambaye aliteuliwa na Sir Alex Ferguson, amekiri kwamba matokeo yao mabovu yamemshangaza mpaka yeye lakini ana uhakika kila kitu kitakaa sawa mbeleni....

 

10 years ago

CloudsFM

Miili ya mashabiki wa Simba Ukawa yasafirishwa kutoka Morogoro kwenda Dar

Miili ya wanachama saba wa klabu ya Simba maarufu kama Simba Ukawa waliofariki mwishoni mwa wiki iliyopita mkoani Morogoro kwa ajali ya gari wakielekea mkoani Shinyanga kuishangalia timu yao imesafirishwa kuelekea jijini Dar.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashabiki kiduchu Zanzibar

Waandaaji wa michuano Kombe la Mapinduzi wamelalamikia kitendo cha mashabiki kuingia ‘kiduchu’ uwanjani huku wakionekana wakiishobokea zaidi timu ya Simba.

 

10 years ago

Mtanzania

Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar

Diamond-PlatnumzNA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuishangilia Stars mwanzo mwisho

RAIS wa Awamu ya Tano nchini, Dk John Magufuli anatarajiwa kuwa mmoja wa mashabiki watakaoipa nguvu timu ya soka ya taifa ya Tanzania `Taifa Stars’ katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 dhidi ya Algeria kwenye Uwanja wa Taifa keshokutwa Jumamosi.

 

10 years ago

Mtanzania

Kila mmoja kuishangilia Yanga leo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KUTOKANA na taratibu za mchezo wa kiungwana ‘Fair Play’, leo kila mmoja atasimama kuwapigia makofi Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Yanga SC watakapokabidhiwa mwali kwenye mchezo wao dhidi ya Azam utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini hapa kuanzia saa 11 jioni.

Yanga ilitangaza ubingwa mapema Jumatatu ya wiki iliyopita, walipoichapa Polisi Morogoro mabao 4-1 na kufikisha pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Rage awaita Simba kuishangilia Yanga

Aliyekuwa Rais wa Simba Aden Rage 

Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.JUMAMOSI Yanga itashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuivaa Etoile Du Sahel ya Tunisia katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.Hata hivyo Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, ameamua kuweka kando itikadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuishangilia Yanga kwa masharti

Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), dhidi ya BDF IX ya Botswana.

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ASAFIRI KWA BOTI KWENDA DAR NA KURUDI ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam. Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani