Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kila mmoja kuishangilia Yanga leo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KUTOKANA na taratibu za mchezo wa kiungwana ‘Fair Play’, leo kila mmoja atasimama kuwapigia makofi Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Yanga SC watakapokabidhiwa mwali kwenye mchezo wao dhidi ya Azam utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini hapa kuanzia saa 11 jioni.

Yanga ilitangaza ubingwa mapema Jumatatu ya wiki iliyopita, walipoichapa Polisi Morogoro mabao 4-1 na kufikisha pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Wakati...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Rage awaita Simba kuishangilia Yanga

Aliyekuwa Rais wa Simba Aden Rage 

Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.JUMAMOSI Yanga itashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuivaa Etoile Du Sahel ya Tunisia katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.Hata hivyo Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, ameamua kuweka kando itikadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Simba kuishangilia Yanga kwa masharti

Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), dhidi ya BDF IX ya Botswana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la kheri Yanga leo

JANA tuliandika tahariri kuwatakia kila la kheri wawakilishi pekee katika michuano ya soka ya kimataifa, mabingwa wa soka nchini, Yanga, ambao leo wana kibarua kigumu cha kuwafunga mabingwa watetezi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

10 years ago

GPL

KILA MMOJA AKIJIFANYA MJUAJI, KUNA MAPENZI?

BILA shaka mpenzi msomaji wa safu hii uko vizuri. Ni wiki nyingine tunakutana katika uwanja wetu maridhawa kuweza kujinasibu na kupeana mawilimatatu yahusuyo maisha ya mahusiano.Kama mada inavyojieleza hapo juu, nimepokea kesi nyingi sana za watu tofauti wakiomba ushauri kwamba wanashindwa kudumu katika mapenzi kutokana na mwenzake kujifanya anajua kila kitu. Anataka kusikilizwa kwa kila kitu, anajua kuhusu maisha, mapenzi, tabia...

 

10 years ago

GPL

KILA MMOJA AFAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MPIGA KURA

Jaji Damian Lubuva. NIMSHUKURU Mungu kwa kuniweka salama na kuja kuzungumza nanyi kwa njia hii ya maandishi. Mchakato wa uchuguzi wa viongozi kuanzia rais, wabunge na madiwani kwa njia ya kidemokrasia hufanywa kwa njia ya kupiga kura.Huu ndiyo wakati ambao kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi hushiriki kuchagua viongozi wa kushika madaraka ya dola na uakilishi kwa kipindi cha miaka 5 kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Stars, inawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake

Timu yetu ya soka ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo inarudiana na Malawi katika mechi ya raundi ya kwanza ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika Russia mwaka 2018.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yetu imejaa kambare, kila mmoja ana masharubu

Nilipigwa na butwaa kusikia kuwa Kamati ya Bunge ya Bajeti wajumbe wake hulipwa Sh500,000, kwa kila kikao wanachoketi.

 

10 years ago

CloudsFM

Washindi Ivory Coast wazawadiwa nyumba na mamilioni kila mmoja.

RAIS wa Ivory Coast Alassane Ouattara ametoa zaidi ya €3 milioni ($3.4m) kama bonasi kuwatuza washindi wa Kombe la Taifa Bingwa Afrika 2015, Wizara ya Michezo nchini humo ilisema Jumanne. Taifa hilo la Afrika Magharibi lililaza Ghana 9-8 kupitia mikwaju ya penalty baada ya kutoka sare tasa muda wa kawaida na wa ziada Equatorial Guinea na kuinua taji lao la pili, la mwisho likiwa 1992.
Kocha Herve Renard alialikwa ikulu ya rais Jumanne huku Mfaransa huyo akipokezwa bonasi ya takriban €114...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani