Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rage awaita Simba kuishangilia Yanga

Aliyekuwa Rais wa Simba Aden Rage 

Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.JUMAMOSI Yanga itashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuivaa Etoile Du Sahel ya Tunisia katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kwa kawaida Simba na Yanga huwa hazishangiliani hata iweje kutokana na upinzani uliopo baina yao.Hata hivyo Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, ameamua kuweka kando itikadi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Simba kuishangilia Yanga kwa masharti

Klabu ya Simba imewapa masharti mahasimu wao wa jadi, Yanga kama inahitaji mashabiki wao waishangilie kwenye mchezo wa keshokutwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF), dhidi ya BDF IX ya Botswana.

 

10 years ago

Mtanzania

Kila mmoja kuishangilia Yanga leo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KUTOKANA na taratibu za mchezo wa kiungwana ‘Fair Play’, leo kila mmoja atasimama kuwapigia makofi Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Yanga SC watakapokabidhiwa mwali kwenye mchezo wao dhidi ya Azam utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini hapa kuanzia saa 11 jioni.

Yanga ilitangaza ubingwa mapema Jumatatu ya wiki iliyopita, walipoichapa Polisi Morogoro mabao 4-1 na kufikisha pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Bengo awaita Yanga

Kiungo wa KCC ya Uganda, Steven Bengo amesema yuko tayari kuichezea Yanga kama viongozi wake watamfuata.

 

10 years ago

GPL

Beki awaita Simba Nigeria

Beki wa zamani wa Simba, Komambil Keita. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Komambil Keita, amewaita viongozi wa klabu hiyo nchini Nigeria wakafanye mazungumzo. Keita, raia wa Mali, anakipiga nchini Nigeria katika klabu ya Highland FC na ametamba kuwa yuko katika kiwango cha juu kabisa.Akizungumza na Championi Jumatano kutoka Nigeria, Keita amesema amepata taarifa za Simba kuwa na matatizo katika safu ya ulinzi....

 

11 years ago

Mwananchi

Loga awaita Kiiza, Okwi Simba

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema yuko tayari kumpokea mshambuliaji yeyote kutoka Yanga iwe Hamis Kiiza au Emmanuel  Okwi kwani anaamini wote wanakiwango cha juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage alalama Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema amesikitishwa na madai kuwa hakuhusika na ushindi dhidi ya Yanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Rage ajivua lawama Simba

>Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na Ufundi wa timu hiyo na wala siyo yeye.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yamtambua Rage Simba

>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani