TFF yamtambua Rage Simba
>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Rage aiangukia TFF
RAIS wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’, ameliandikia barua Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akilitaka liruhusu uchaguzi wa Simba ufanyike Juni 29. Rage alisema Juni 15, mwaka...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
TFF yazidi kumlea Aden Rage
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imezidi kusisitiza kuwa bado Mwenyekiti wa Simba huku ikimtaka kuitisha mkutano mkuu kwa mujibu wa Katiba ya...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Rage alalama Simba
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Rage akabidhi ofisi Simba
HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, jana alikabidhi rasmi ofisi Makao Makuu ya klabu hiyo kwa Rais Evans Aveva na kamati yake ya utendaji, ikiwamo mikataba mbalimbali iliyosaini...
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Simba wamwendea Rage bungeni
HARAKATI za kumwondoa madarakani Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutuvengere’, zimezidi kushika kasi baada ya wanachama kuamua kufunga safari kutoka jijini Dar es Salaam hadi mjini Dodoma...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Rage ajivua lawama Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3BIx1BHMs-kyHMWYoZlWVb71GVYH0vXLxUb9y0AURvP2OkVWyIj2Sflpvsq-e2K*6eScPX-Q*0nGJlZS-g3Oy*W/rage.jpg?width=650)
Rage anusurika kipigo Simba
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVW9*pt4-WrVIXLrmFLRH0P7DTdQdvfGhNeCHQ35LibnjXNi8XmbBgaCr-MgqOX2RODNDHGrULyPZEbKPVSKpNTA/rage.jpg?width=650)
Rage azuia 100m za usajili Simba