Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rage anusurika kipigo Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage (kushoto) akiongea na wanachama wa Simba siku ya jana Jumapili. Na Sweetbet Lukonge
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, jana Jumapili alinusurika kuchezea kichapo kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo katika Mkutano Mkuu wa Katiba uliofanyika kwenye Ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Waziri anusurika kipigo

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi

NA SAMWEL MWANGA, SIMIYU

NAIBU Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi, amenusurika kupata kipigo kutoka kwa wakulima wa pamba katika Kijiji cha Marekano, Wilaya ya Maswa, Mkoa wa Simiyu.

Zambi alinusurika kupata kipigo baada ya kushindwa kutoa majibu ya kuridhisha kwa wakulima juu ya mbegu za pamba zisizoota.

Tukio hilo lilitokea juzi kijijini hapo, wakati Zambi alipofanya ziara ya kushitukiza ili kuona jinsi ununuzi wa...

 

10 years ago

GPL

MTITU ANUSURIKA KIPIGO

Stori: Na Waandishi wetu/Ijumaa Wikienda UPEPO ulichafuka! Katika hali ya taharuki, msanii ambaye pia ni msambazaji wa kazi za wasanii, William Mtitu amenusurika kipigo wakati wa kikao cha wasambazaji kujadili bei ya CD za kazi za wasanii. Kikao hicho kilifanyika wiki iliyopita katika Ukumbi wa Habari Maelezo, Posta jijini Dar kufuatia kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment kutangaza kuuza CD kwa shilingi 1,000 badala ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injinia anusurika kupata kipigo

INJINIA wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Hamis Chande, amenusurika kupigwa na wananchi wa Kijiji cha Bugulula, wilayani Geita baada ya kwenda kuangalia msingi wa jengo la Mama na Mtoto...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mahanga anusurika kipigo.

Polisi wamuokoa chini ya ulinzi mkali, Wananchi wamzomea, wamwita mwizi.Vurugu katika zoezi la kuapisha wenyeviti wateule wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zimepamba moto, ambazo zimesababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kujikuta akizomewa na wananchi na kusababisha zoezi hilo katika baadhi ya mitaa na vitongoji katika maeneo mbalimbali nchini kukwama.

Dk. Mahanga, ambaye pia ni Mbunge wa Segerea (CCM) alikumbwa na masaibu hayo wakati wa hafla ya kuapisha...

 

10 years ago

Habarileo

Chenge anusurika kipigo Chadema

MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge MBUNGE wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge juzi aliokolewa kwa risasi katika vurugu za kundi la wananchi, waliomvamia karibu na ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Simiyu na kusababisha taharuki katika ofisi za chama hicho.

 

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI

Mtuhumiwa (mwenye shati nyeusi) akiwa amedhibitiwa na baadhi ya wananchi. JAMAA mmoja ambaye jina lake halikufahamika  mara moja amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam , kwa tuhuma za utapeli. (Habari/Picha: Na Gabriel…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injinia anusurika kupata kipigo Geita

INJINIA wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Hamis Chande, amenusurika kupigwa na wananchi wa Kijiji cha Bugulula, wilayani Geita baada ya kwenda kuangalia msingi wa jengo la Mama na Mtoto...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndugai anusurika kipigo vurugu za vijana Kongwa

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai amenusurika kujeruhiwa na kundi la vijana waliokuwa wakipinga ongezeko la ushuru wa mazao na kuvamia ukumbi wa mkutano wa Kilimo uliopo Kibaigwa, wilayani Kongwa.

 

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, DIWANI CCM ANUSURIKA KIPIGO

Na Makongoro Oging’ DIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Richard Chengula wiki iliyopita alipata wakati mgumu, baada ya kunusurika kupigwa na wananchi wake, kwa kile kilichodaiwa kuzuia shughuli za maendeleo. Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani