Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rage azuia 100m za usajili Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage. Na  Wilbert Moland
JAMBO limezua jambo! Imefahamika wazi kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, amegoma kutoa shilingi milioni 100 za klabu hiyo kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara mapema Agosti, mwaka huu. Simba ipo kwenye kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29 na habari zilizopo ni kuwa, kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na malipo ya kodi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kocha Stars azuia usajili wa Kipanga Simba

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh. Na Hans Mloli
ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh, amempa onyo na kumsihi straika wa Mbeya City, Saad Kipanga anayewaniwa kwa udi na uvumba na timu ya Simba, kuwa asiihame timu hiyo na kwenda kuchezea Simba au klabu kubwa msimu ujao kwa ajili ya faida yake binafsi. Marsh aliyekuwa msaidizi wa Kocha Mkuu, Mdenishi, Kim Poulsen kabla ya Stars...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

11 years ago

GPL

Hans Pope azuia mkataba wa Loga Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope.
Na Martha Mboma
IMEELEZWA kuwa, kutokuwepo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope, ndiyo chanzo cha kocha mkuu wa timu hiyo, Mcrotia Zdravko Logarusic kushindwa kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Loga ambaye aliifundisha Simba awali kwa mkataba wa miezi sita msimu uliopita, amekuwa katika mvutano na uongozi juu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Rage alalama Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema amesikitishwa na madai kuwa hakuhusika na ushindi dhidi ya Yanga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba wamwendea Rage bungeni

HARAKATI za kumwondoa madarakani Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ‘Tutuvengere’, zimezidi kushika kasi baada ya wanachama kuamua kufunga safari kutoka jijini Dar es Salaam hadi mjini Dodoma...

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yamtambua Rage Simba

>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage akabidhi ofisi Simba

HATIMAYE aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, jana alikabidhi rasmi ofisi Makao Makuu ya klabu hiyo kwa Rais Evans Aveva na kamati yake ya utendaji, ikiwamo mikataba mbalimbali iliyosaini...

 

11 years ago

GPL

Rage anusurika kipigo Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage (kushoto) akiongea na wanachama wa Simba siku ya jana Jumapili. Na Sweetbet Lukonge
MWENYEKITI wa Simba, Ismail Aden Rage, jana Jumapili alinusurika kuchezea kichapo kutoka kwa wanachama wa klabu hiyo katika Mkutano Mkuu wa Katiba uliofanyika kwenye Ukumbi wa Maofisa wa Polisi uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani