Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Stars azuia usajili wa Kipanga Simba

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh. Na Hans Mloli
ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh, amempa onyo na kumsihi straika wa Mbeya City, Saad Kipanga anayewaniwa kwa udi na uvumba na timu ya Simba, kuwa asiihame timu hiyo na kwenda kuchezea Simba au klabu kubwa msimu ujao kwa ajili ya faida yake binafsi. Marsh aliyekuwa msaidizi wa Kocha Mkuu, Mdenishi, Kim Poulsen kabla ya Stars...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Rage azuia 100m za usajili Simba

Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage. Na  Wilbert Moland
JAMBO limezua jambo! Imefahamika wazi kuwa Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage, amegoma kutoa shilingi milioni 100 za klabu hiyo kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara mapema Agosti, mwaka huu. Simba ipo kwenye kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29 na habari zilizopo ni kuwa, kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na malipo ya kodi...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha wa Simba apiga ‘stop’ usajili

Kocha wa Simba, Dylan Kerr amewazuia viongozi wa timu hiyo kufanya usajili wowote hasa mshambuliaji bila ya kujiridhisha juu ya uwezo wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

11 years ago

Michuzi

KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Kocha mpya wa Taifa Stars, Mart Nooij ameongeza wachezaji tisa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Malawi (The Flames) itakayochezwa Mei 4 mwaka huu katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...

 

11 years ago

GPL

Hans Pope azuia mkataba wa Loga Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope.
Na Martha Mboma
IMEELEZWA kuwa, kutokuwepo kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hans Pope, ndiyo chanzo cha kocha mkuu wa timu hiyo, Mcrotia Zdravko Logarusic kushindwa kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Loga ambaye aliifundisha Simba awali kwa mkataba wa miezi sita msimu uliopita, amekuwa katika mvutano na uongozi juu ya...

 

9 years ago

StarTV

Kocha Luis Enrique Asema  ataongeza nguvu ya usajili Barcelona.

 

 Kocha Luis Enrique Martinez wa FC Barcelona amesema kuwa hana shaka na kiwango bora cha timu yake msimu huu  na kubainisha kuwa ana mpango wa kukiongezea nguvu zaidi katika dirisha dogo la usajili la janauri mwakani.

Kocha huyo ameweka wazi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maandalizi ya mechi ya ligi kuu ya La liga dhidi Real Sociedad kwenye uwanja wa Nou Camp.

Amesema hana hofu  kwa kuwa  siku zote anataka wachezaji wake kuwa fiti licha  ya kukumbwa na majeruhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Usajili Simba shaka

Kundi maarufu la Friends Of Simba wamesimamisha zoezi la usajili la wachezaji wa klabu hiyo wakidaiwa kupima kwanza upepo.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI SIMBA : Hatuwataki

Wakati Simba ikishindwa kusajili wachezaji nyota kwa madai ya kutokuwa kwenye hesabu zao za mwanzo, nyota hao wameibuka na kusema usajili wao ulikwamishwa na maneno matupu ya uongozi wa klabu hiyo.

 

11 years ago

GPL

KOCHA MPYA STARS

Martinus Ignatius "Mart" Nooij. Kocha mpya wa Taifa Stars ni Mholanzi, Martinus Ignatius "Mart" Nooij anayetarajiwa kutambulishwa rasmi Machi 24 mwaka huu na Rais wa TFF, Jamal Malinzi! CHANZO NI BIN ZUBEIRY…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani