Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars, inawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake

Timu yetu ya soka ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo inarudiana na Malawi katika mechi ya raundi ya kwanza ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika Russia mwaka 2018.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KILA MMOJA AFAHAMU HAKI NA WAJIBU WA MPIGA KURA

Jaji Damian Lubuva. NIMSHUKURU Mungu kwa kuniweka salama na kuja kuzungumza nanyi kwa njia hii ya maandishi. Mchakato wa uchuguzi wa viongozi kuanzia rais, wabunge na madiwani kwa njia ya kidemokrasia hufanywa kwa njia ya kupiga kura.Huu ndiyo wakati ambao kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi hushiriki kuchagua viongozi wa kushika madaraka ya dola na uakilishi kwa kipindi cha miaka 5 kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Tumsaidie Mkwasa atimize wajibu wake Stars

Ni dhahiri kwamba vilio vya wadau wa soka nchini waliotaka aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij atimuliwe kazi vimetimia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars inawezekana Dar

NI Jumatatu nyingine tunakutana wadau wa Uwanja wa Kuchonga, kama kawaida lengo likiwa ni lile lile, kupeana changamoto za kispoti ili kuchochea ufanisi katika sekta hii muhimu katika jamii. Bila...

 

9 years ago

GPL

KILA ALIYEJIANDIKISHA ANA WAJIBU WA KUPIGA KURA

Jaji Mstaafu, Damian Lubuva. Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai leo na kujiona tuko katika nchi yetu iliyojaa amani. Naamini kwamba katika maeneo yote ya nchi, wazalendo wa nchi hii walijitokeza bila kulazimishwa kwenda kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (BVR)kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25. Mkoa wa mwisho kuhitimisha rasmi kazi hiyo iliyoanza kwa kusuasua...

 

9 years ago

Dewji Blog

TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.

Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)

Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...

 

9 years ago

Global Publishers

Afanyayo Magufuli siyo mizani kwa Kikwete ni wajibu wake

pombe2Rais John Pombe Magufuli.

Wale watu wenye umri mkubwa wanajua kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na uhusiano mbaya na Shirika la Fedha la Dunia IMF na Benki ya Dunia akiwa madarakani.

Alipoingia madarakani, Ali Hassan Mwinyi aliamua kufuata masharti yaliyowekwa na mkubwa huyo. Hali ya uchumi ikawa mbaya. Hata hivyo, Mwalimu aliwafanya Watanzania kuwa kitu kimoja.

Mzee Mwinyi enzi hizo alipolaumiwa na baadhi ya watu akasema kwamba ‘kila zama na kitabu chake.”...

 

10 years ago

Mtanzania

Kila mmoja kuishangilia Yanga leo

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KUTOKANA na taratibu za mchezo wa kiungwana ‘Fair Play’, leo kila mmoja atasimama kuwapigia makofi Mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Yanga SC watakapokabidhiwa mwali kwenye mchezo wao dhidi ya Azam utakaofanyika Uwanja wa Taifa jijini hapa kuanzia saa 11 jioni.

Yanga ilitangaza ubingwa mapema Jumatatu ya wiki iliyopita, walipoichapa Polisi Morogoro mabao 4-1 na kufikisha pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.

Wakati...

 

10 years ago

GPL

KILA MMOJA AKIJIFANYA MJUAJI, KUNA MAPENZI?

BILA shaka mpenzi msomaji wa safu hii uko vizuri. Ni wiki nyingine tunakutana katika uwanja wetu maridhawa kuweza kujinasibu na kupeana mawilimatatu yahusuyo maisha ya mahusiano.Kama mada inavyojieleza hapo juu, nimepokea kesi nyingi sana za watu tofauti wakiomba ushauri kwamba wanashindwa kudumu katika mapenzi kutokana na mwenzake kujifanya anajua kila kitu. Anataka kusikilizwa kwa kila kitu, anajua kuhusu maisha, mapenzi, tabia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani