Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afanyayo Magufuli siyo mizani kwa Kikwete ni wajibu wake

pombe2Rais John Pombe Magufuli.

Wale watu wenye umri mkubwa wanajua kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na uhusiano mbaya na Shirika la Fedha la Dunia IMF na Benki ya Dunia akiwa madarakani.

Alipoingia madarakani, Ali Hassan Mwinyi aliamua kufuata masharti yaliyowekwa na mkubwa huyo. Hali ya uchumi ikawa mbaya. Hata hivyo, Mwalimu aliwafanya Watanzania kuwa kitu kimoja.

Mzee Mwinyi enzi hizo alipolaumiwa na baadhi ya watu akasema kwamba ‘kila zama na kitabu chake.”...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Mfumo mpya waja mizani

WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

TACCEO yaitaka NEC kutimiza wajibu wake

Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi Chaguzi Tanzania (TACCEO) umetoa tamko jana Oktoba 6, 2015 kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhakikisha sheria na kanuni zinafuatwa na haki ya Wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi wa viongozi wao unalindwa na kuheshimiwa.

Kaimu Mwenyekiti wa TACCEO Wakili, Imelda Lulu Urio akitoa tamko kwa Wanahabari (hawako pichani)

Akisoma tamko hilo mbele ya wanahabari, Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao huo unaoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki...

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Tumsaidie Mkwasa atimize wajibu wake Stars

Ni dhahiri kwamba vilio vya wadau wa soka nchini waliotaka aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij atimuliwe kazi vimetimia.

 

9 years ago

Mwananchi

Stars, inawezekana kila mmoja akitimiza wajibu wake

Timu yetu ya soka ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ leo inarudiana na Malawi katika mechi ya raundi ya kwanza ya kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia zilizopangwa kufanyika Russia mwaka 2018.

 

11 years ago

GPL

MAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO

Mhandisi kutoka Wakala wa Barabara Nchini TANROADS Ndugu Kileo akimuonesha Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli jinsi Mzani mpya wa Vigwaza utakavyokuwa ukipima magari wakati yakitembea tofauti na mizani mingine nchini.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kazi ya ujenzi  inayofanyika katika Chuo Kikuu cha Muhimbili kilichopo katika eneo la Mloganzila Kibamba nje kidogo ya Jiji...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Aomba mizani kwa wakulima

MBUNGE wa Mbogwe, Augustino Masele (CCM), ameishauri Serikali kuwapatia mizani wakulima ili wasinyonywe na wafanyabiashara ambao wamekuwa wakitumia mizani yao. Masele, alitoa kauli hiyo jana bungeni mjini hapa wakati akiuliza...

 

11 years ago

Mwananchi

Vizuizi, mizani mzigo mkubwa kwa wafanyabiashara

Biashara katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) inaendelea kukumbwa na vikwazo katika miundombinu na kusababisha wafanyabiashara kuingia gharama kubwa za kusafirisha bidhaa mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani