Magufuli: Mfumo mpya waja mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jan
OUT waja na mfumo mpya wa mitihani
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimeanza utaratibu wa kuondoa msimu wa mitihani kwa kuweka mfumo wa kufanya mtihani kila mtahiniwa anapohitaji ambapo wanafunzi wanaweza kuomba mitihani kupitia tovuti.
10 years ago
Habarileo18 Apr
Mfumo wa kielektroniki wa ardhi waja
SERIKALI iko mbioni kuanzisha mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa ardhi hapa nchini, utakaosaidia kupima, kupanga na kukusanya kodi ya pango la ardhi na kuondoa kero ambazo wananchi wamekuwa wanakumbana nazo katika sekta hiyo.
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Magufuli aagiza kufungwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini
Na John Dotto, Mwanza
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ameagiza kufungwa kwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini ili kukabiana na wajanja wachache wanahujumu mapato katika vivuko hivyo.
Mbali ya hilo, ameagiza kufanywa kwa utaratibu utakaowezesha huduma katika vivuko zinatolewa kwa saa 24 ili kukidhi mahitaji ya wananchi.
Dk. Magufuli alitoa maagizo hayo jana katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki katika kivuko cha Kigongo -busisi mkoani hapa uliowekwa na...
10 years ago
MichuziDkt. Magufuli aagiza kufungwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lNCZjkmC4ms/XsbPoHDSKuI/AAAAAAALrM0/KR3JM7tF8UsZPoouJ2bEMjrycWWQhFUpwCLcBGAsYHQ/s72-c/42e0e685-2ba0-4bfe-9d58-1b66fbf8bb7d.jpg)
MSIMU MPYA WA KAHAWA, KDCU WAZINDUA MIZANI YA KIELEKTRONIKI.
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Wilaya za Karagwe na Kyerwa (KDCU), kimezindua Mizani 15 mipya ya Kielektroniki yenye thamani ya shilingi Milioni 46, na kugawiwa katika Vyama vya Msingi, wakati tukielekea msimu mpya wa zao la kahawa.
Mizani hiyo imezinduliwa na iliyozinduliwa na kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti katika tukio lililofanyika mapema Mei 21, katika Viwanja vya Chama hicho Wilayani Karagwe, huku tukio hilo...
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Afanyayo Magufuli siyo mizani kwa Kikwete ni wajibu wake
Rais John Pombe Magufuli.
Wale watu wenye umri mkubwa wanajua kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na uhusiano mbaya na Shirika la Fedha la Dunia IMF na Benki ya Dunia akiwa madarakani.
Alipoingia madarakani, Ali Hassan Mwinyi aliamua kufuata masharti yaliyowekwa na mkubwa huyo. Hali ya uchumi ikawa mbaya. Hata hivyo, Mwalimu aliwafanya Watanzania kuwa kitu kimoja.
Mzee Mwinyi enzi hizo alipolaumiwa na baadhi ya watu akasema kwamba ‘kila zama na kitabu chake.”...
10 years ago
Mtanzania11 Oct
Ukawa waja na mpya
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Samuel Sitta
NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM
UTATA mpya umeibuka kuhusu uhalali wa kura zilizowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa upande wa Zanzibar, waliopitisha vifungu vya Katiba iliyopendekezwa kupigiwa kura na wananchi.
Utata huo umejitokeza jana baada ya mmoja wa waliokuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la watu 201, Haji Ambar Khamis, aliyedai jina lake limeandikwa kimakosa katika orodha ya wajumbe wa upande wa Zanzibar walioshiriki na kupendekeza...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Mwafaka Katiba mpya waja
MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji Katiba mpya. Kikwete alikutana jana na vyama hivyo kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo kukiwa na ajenda mbili mojawapo ikihusu mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZTZ8ThfrcIJ5wY5mLjHmvb9N9WlUcRKj*bBRo-T6XF*Ltk28xpJztiPeAbO9oRzeHKOkom4ZIg5puviqYIHQuh/MAGU1.jpg?width=650)
MAGUFULI AKAGUA MIZANI YA KISASA YA VIGWAZA MKOANI PWANI PAMOJA NA UJENZI WA BARABARA YA KIBAMBA-KWEMBE-MAKONDEKO