Ukawa waja na mpya
Samuel Sitta
NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM
UTATA mpya umeibuka kuhusu uhalali wa kura zilizowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa upande wa Zanzibar, waliopitisha vifungu vya Katiba iliyopendekezwa kupigiwa kura na wananchi.
Utata huo umejitokeza jana baada ya mmoja wa waliokuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la watu 201, Haji Ambar Khamis, aliyedai jina lake limeandikwa kimakosa katika orodha ya wajumbe wa upande wa Zanzibar walioshiriki na kupendekeza...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Sep
Mwafaka Katiba mpya waja
MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji Katiba mpya. Kikwete alikutana jana na vyama hivyo kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo kukiwa na ajenda mbili mojawapo ikihusu mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya.
10 years ago
Habarileo25 Jan
OUT waja na mfumo mpya wa mitihani
CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimeanza utaratibu wa kuondoa msimu wa mitihani kwa kuweka mfumo wa kufanya mtihani kila mtahiniwa anapohitaji ambapo wanafunzi wanaweza kuomba mitihani kupitia tovuti.
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Magufuli: Mfumo mpya waja mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...
10 years ago
Mtanzania07 May
ACT- Wazalendo waja na siasa mpya
Na Mwandishi Wetu, Iringa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Wazalendo), kimeibuka na mikakati mipya ikiwemo kuhamasisha kuanzisha kampeni maalumu ya kuwataka Watanzania kujiandikisha katika daftari la Kudumu la Wapiga kura kupitia mfumo wa elekroniki (BVR), kwa matangazo ya redio.
Hatua hiyo inaelezwa kuwa huenda ikabadili hali ya kisiasa ambapo vyama vingine vimekuwa vikitumia zaidi mikutano ya hadhara lakini chama hicho sasa kimebuni njia mpya ya kutangaza kupitia njia...
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya
WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...
10 years ago
Mwananchi31 Mar
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Je, Ukawa - Lowassa watahakikisha Katiba Mpya?
WAHENGA wamelonga ‘aliyeumwa na nyoka akiona unyasi hushituka’ Wazalendo wa Tanzania waliumwa na
Mwandishi Wetu
11 years ago
Habarileo18 Apr
'Ukawa wamepanga kukwamisha Katiba mpya'
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mwigulu Nchemba amesema, Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamepanga kukwamisha mchakato wa Katiba mpya.
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Katibu: Bila Ukawa hakuna Katiba Mpya