Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OUT waja na mfumo mpya wa mitihani

Profesa Tolly MbweteCHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimeanza utaratibu wa kuondoa msimu wa mitihani kwa kuweka mfumo wa kufanya mtihani kila mtahiniwa anapohitaji ambapo wanafunzi wanaweza kuomba mitihani kupitia tovuti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli: Mfumo mpya waja mizani

WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mfumo wa kielektroniki wa ardhi waja

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akionyesha nyaraka ambazo watumishi wasio waaminifu wa sekta ya ardhi wamekuwa wakizitumia kuwapora wamiliki halali wa viwanja na kumilikisha watu wengine kwa njia za udanganyifu, wakati alipozungumza na watumishi wa sekta hiyo ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam jana. (Picha na Wizara ya Ardhi).SERIKALI iko mbioni kuanzisha mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa ardhi hapa nchini, utakaosaidia kupima, kupanga na kukusanya kodi ya pango la ardhi na kuondoa kero ambazo wananchi wamekuwa wanakumbana nazo katika sekta hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MITIHANI LAPANGUA MFUMO MZIMA WA KUPANGA MADARAJA YA UFAULU KIDATO CHA NNE NA TANO


Matokeo ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.  Asilimia 30 za Alama Endelevu, zitapatikana kutokana na mitihani mbalimbali. Kwa Kidato cha Nne mwaka huu, alama hizo zitatokana na matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha pili ambao...

 

10 years ago

Mtanzania

Ukawa waja na mpya

Samuel Sitta

Samuel Sitta

NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM

UTATA mpya umeibuka kuhusu uhalali wa kura zilizowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa upande wa Zanzibar, waliopitisha vifungu vya Katiba iliyopendekezwa kupigiwa kura na wananchi.

Utata huo umejitokeza jana baada ya mmoja wa waliokuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka kundi la watu 201, Haji Ambar Khamis, aliyedai jina lake limeandikwa kimakosa katika orodha ya wajumbe wa upande wa Zanzibar walioshiriki na kupendekeza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mitihani mitano ya JK katiba mpya

WAKATI matumaini ya Tanzania kuandika katiba mpya baada ya miaka 50 ya uhuru, yakiwa yamefifia kutokana na ukigeugeu wa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mitihani mitano inamkabili Rais Jakaya...

 

10 years ago

Habarileo

Mwafaka Katiba mpya waja

MKUTANO wa Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa juu wa vyama vya siasa uliofanyika jana mjini Dodoma umetajwa kuwa na dalili nzuri zinazoashiria mwafaka utapatikana juu ya mchakato wa utengenezaji Katiba mpya. Kikwete alikutana jana na vyama hivyo kupitia Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachoongozwa na Mwenyekiti wa UDP, John Cheyo kukiwa na ajenda mbili mojawapo ikihusu mchakato unaoendelea wa kutengeneza Katiba mpya.

 

10 years ago

Mtanzania

ACT- Wazalendo waja na siasa mpya

Zitto-KabweNa Mwandishi Wetu, Iringa
CHAMA cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Wazalendo), kimeibuka na mikakati mipya ikiwemo kuhamasisha kuanzisha kampeni maalumu ya kuwataka Watanzania kujiandikisha katika daftari la Kudumu la Wapiga kura kupitia mfumo wa elekroniki (BVR), kwa matangazo ya redio.
Hatua hiyo inaelezwa kuwa huenda ikabadili hali ya kisiasa ambapo vyama vingine vimekuwa vikitumia zaidi mikutano ya hadhara lakini chama hicho sasa kimebuni njia mpya ya kutangaza kupitia njia...

 

10 years ago

Mwananchi

Marafiki wa Lowassa waja na staili mpya

Daniel Mjema na Rehema Matowo, Mwananchi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya

WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani