Dkt. Magufuli aagiza kufungwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini
Na JOHN DOTTO, Mwanza WAZIRI wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ameagiza kufungwa kwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini ili kukabiana na wajanja wachache wanahujumu mapato katika vivuko hivyo. Mbali ya hilo, ameagiza kufanywa kwa utaratibu utakaowezesha huduma katika vivuko zinatolewa kwa saa 24 ili kukidhi mahitaji ya wananchi. Dkt. Magufuli alitoa maagizo hayo jana katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki katika kivuko cha Kigongo -busisi mkoani hapa uliowekwa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Jan
Magufuli aagiza kufungwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini
Na John Dotto, Mwanza
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ameagiza kufungwa kwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini ili kukabiana na wajanja wachache wanahujumu mapato katika vivuko hivyo.
Mbali ya hilo, ameagiza kufanywa kwa utaratibu utakaowezesha huduma katika vivuko zinatolewa kwa saa 24 ili kukidhi mahitaji ya wananchi.
Dk. Magufuli alitoa maagizo hayo jana katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kielektroniki katika kivuko cha Kigongo -busisi mkoani hapa uliowekwa na...
10 years ago
MichuziBENKI YA I&M YAZINDUA HUDUMA YA KWANZA YA MFUMO WA KIELEKTRONIKI YA MASAA 24 KATIKA JENGO LA VIVA TOWERS, JIJINI DAR
5 years ago
MichuziRC TABORA AAGIZA UFUNGAJI WA MFUMO WA KUKUSANYA MAPATO KATIKA MAENEO YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA
NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuhakikisha wanafunga Mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa katika maeneo yote yanayosuka na utoaji wa huduma za afya ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji mapato.
Ukusanyaji wa mapato kwa njia za stakabadhi zilizo katika vitabu zimesababisha baadhi ya mapato kupotea na mengine kuishia mifukoni mwa watumishi wasio waaminifu.
Mwanri ametoa kauli hiyo jan20a wakati wa ukaguzi wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-S9YRJiCRXVY/XuiWT1yOYBI/AAAAAAALt_g/8NN6LYpV6k8C7mz3ooiYPxxQob3IwfRCgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screenshot_20190624-082145.jpg)
DKT.MAGUFULI:UCHAGUZI MKUU UTAKUWA HURU NA HAKI KWA VYAMA VYOTE, WANAOPANGA KULETA VURUGU SERIKALI IKO MACHO
![](https://1.bp.blogspot.com/-S9YRJiCRXVY/XuiWT1yOYBI/AAAAAAALt_g/8NN6LYpV6k8C7mz3ooiYPxxQob3IwfRCgCLcBGAsYHQ/s640/Screenshot_20190624-082145.jpg)
Akizungumza leo Juni 16,2020 jijini Dodoma wakati akifunga Bunge la 11, Rais Magufuli amesema kuwa uchaguzi huo utakua wa huru na haki kwa kuwa ndio Demokrasia huku akivitaka vyama kutoa nafasi za kugombea kwa wanawake,...
10 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Magufuli: Mfumo mpya waja mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli, amezitaka sekta za usafirishaji nchini kujiandaa na mfumo wa kisasa wa upimaji katika mizani ya magari inayojengwa Vigwaza Mkoa wa Pwani kwa ajili ya...
10 years ago
Habarileo18 Apr
Mfumo wa kielektroniki wa ardhi waja
SERIKALI iko mbioni kuanzisha mfumo wa kielektroniki wa usimamizi wa ardhi hapa nchini, utakaosaidia kupima, kupanga na kukusanya kodi ya pango la ardhi na kuondoa kero ambazo wananchi wamekuwa wanakumbana nazo katika sekta hiyo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-o-iftunf9m0/Xs5sKoVfHuI/AAAAAAAAMX0/-u54N-33fpgWuVSJCHe0Hoeif2-7HiXjQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.png)
WAKULIMA WILAYA YA IKUNGI WAMPONGEZA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI KWA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-o-iftunf9m0/Xs5sKoVfHuI/AAAAAAAAMX0/-u54N-33fpgWuVSJCHe0Hoeif2-7HiXjQCLcBGAsYHQ/s640/1.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-N-jaXoNDBDs/Xs5sIumtuUI/AAAAAAAAMXs/PTznSJOSvE8p_T7IGPMs9oIwQhmGr-LtQCLcBGAsYHQ/s640/2.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-kXl-FC5nBwk/Xs5sJxecqkI/AAAAAAAAMXw/Soa0dyXhhgIU2dHr8e6ASbEn0TVNb5dzACLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-05-27-15h10m19s748.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xup153Qqz1Y/Xs5sMM2TG-I/AAAAAAAAMX4/F53rTArN5DY52yqdhvBBjKQLKUTkQpeHgCLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-05-27-15h11m55s710.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-3a_Id4U13K4/Xs5sOUMxw6I/AAAAAAAAMX8/_tWr4BX1lIkXqNYrrkPkbfUv8voIXVdbgCLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-05-27-15h12m55s580.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-24qSAMLaJ1E/Xs5sOwbGTMI/AAAAAAAAMYE/CuRWPBXTsa4VwejWXoRjQNyX8ECyGKiuQCLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-05-27-15h13m35s228.png)
![](https://1.bp.blogspot.com/-b8yw5_3azG0/Xs5sOti3mkI/AAAAAAAAMYA/m2Haw1d-v5c29TgK7_MKRB12hnhb9prqgCLcBGAsYHQ/s640/vlcsnap-2020-05-27-15h17m45s705.png)
9 years ago
Dewji Blog21 Dec
Hospitali zaagizwa kutengeneza mfumo wa malipo wa kielektroniki
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla akifurahi jambo na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga (kulia) wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mwishoni mwa juma mkoa wa Lindi.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Na Mwandishi wetu, Mtwara
NAIBU Waziri katika Wizari wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla ameagiza kubadilishwa kwa mifumo ya utawala,...
11 years ago
Dewji Blog02 May
Mfumo wa kielektroniki waongeza mapato manispaa ya Kinondoni
Afisa Uhusiano wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Bw. Sebastian Mhowera akieleza kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyaji mapato unatumiwa na manispaa hiyo,wakati wa mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Fatma Salum.
Mchambuzi wa Mifumo ya Komputa Bw. Jackson Kiema akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) mashine ya...