Mashabiki wamaliza ubishi wa Ney na Diamond
NA MWANDISHI WETU
MASHABIKI jijini Arusha walimaliza ubishi uliokuwepo kati ya wasanii wa kizazi kipya, Elibariki Emanuel ‘Ney wa Mitego’ na Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ waliokuwa wakibishana stejini kupitia wimbo wao wa ‘Mapenzi pesa ama Ujuzi’.
Tukio hilo lilitokea katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jumamosi iliyopita, wakati Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea urais.
Katika shoo yao hiyo iliyochengua mashabiki, Diamond alisimamia upande wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen24 Oct
Diamond and Ney Wa Mitego questioned over military wear
10 years ago
Mtanzania18 May
Diamond, Ney wa Mitego wakesha siku saba
NA SHARIFA MMASI
NYOTA wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Nasib Abdul ‘Diamond’ na Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, wametumia siku saba kukesha studio kurekodi wimbo wao mpya wa ‘Mapenzi au Pesa’.
Wimbo huo ulioanza kusikika hivi karibuni, Diamond na Ney wameshirikiana kwa mara ya pili baada ya wimbo wa ‘Muziki gani’.
Ney alisema ‘Mapenzi au Pesa’ ni wimbo wa kwanza kuukeshea studio na kupata usingizi kidogo kwa siku saba mfululizo.
“Kwa mara ya kwanza tangu nianze kuimba muziki, wimbo...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://1.bp.blogspot.com/-Yz8vO43bP3o/VVnJ2skm2tI/AAAAAAAABe8/EgFXLwdFdbc/s72-c/mapenzi%2Bau%2Bpesa%2Bartwork.png)
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Ney Lee: Najivunia Ney wa Mitego
MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Neema Agrey ‘Ney Lee’ anatarajia kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Usinikatae’. Akizungumza Dar es Salaam jana...
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Mashabiki wamvamia Diamond Zanzibar
NA FESTO POLEA, ZANZIBAR
KATIKA hali isiyotarajiwa askari wanaolinda katika Tamasha la Sauti za Busara walijikuta wakifanya kazi ya ziada kutawanya idadi kubwa ya mashabiki wa msanii, Nassib Abdul (Diamond), baada ya kumvamia walipomuona katika eneo hilo akiwa na mpenzi wake, Zari.
Mashabiki hao walimvamia msanii huyo na mpenzi wake kwa lengo la kupiga naye picha na wengine wakitaka kumsalimu kwa kumkumbatia lakini kutokana na kila shabiki kutaka kupata nafasi hiyo kwa haraka wakajikuta...