Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kweleakwelea waharibu hekari 300 za mazao

Zaidi ya hekari 300 za mashamba ya mpunga katika vijiji vya Wami Luhindo, Wami Dakawa na Sagayo wilayani Mvomero mkoani, zimeharibiwa na ndege waharibifu aina ya kweleakwelea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kweleakwelea ni janga, inafaa washughulikiwe ipasavyo

Gazeti hili jana liliandika kuwa ndege aina ya kweleakwelea wamevamia mikoa ya Morogoro na Dodoma na kuharibu maelfu ya ekari za mazao.

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi ameitaka Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Dodoma kuhakikisha inatafuta suluhisho la haraka la changamoto ya maghala na mifumo ya kuhifadhia mazao inayoikabili taasisi hiyo wakati huu wa msimu wa kununua mazao.
Vilevile Dr. Nchimbi ameelekeza ukarabati wa Maghala ya hifadhi ya “National Milling” yaliyopo eneo la Makole ambayo uwezo wake ni kuhifadhi takribani tani elfu 10 kwa ghala uwekewe mkakati ili kusaidia kuleta suluhisho la...

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi waharibu shule

WANAFUNZI wa shule ya msingi na sekondari ya St Anne Marie Academy ya Dar es Salaam, wamefanya vurugu zilizoambatana na uharibifu mkubwa wa mali ikiwamo kuvunja vioo vya magari, mabweni, madarasa na kompyuta, chanzo kikidaiwa kuwa ni hatua ya uongozi wa shule kuwapa walinzi mamlaka makubwa ya kuwaadhibu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wamvamia mwekezaji, waharibu mali

>Zaidi ya wananchi 200 wamevamia shamba la mwekezaji mwenye asili ya Asia, Pradeep Lodhia na kufanya uharibifu mkubwa ikiwamo kuvunja nyumba za wafanyakazi na kuharibu mali mbalimbali zilizokuwa shambani kwa madai kuwa shamba hilo ni mali yao.

 

10 years ago

Habarileo

Abiria waharibu vifaa treni mpya

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaSIKU chache baada ya kuzinduliwa kwa treni mpya ya abiria (Deluxe), abiria wa awali kutumia usafiri huo kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, wamekosa ustaarabu na kufanya uharibifu katika baadhi ya mabehewa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Islamic State waharibu mji wa Nimrod

Wanamgambo wa Islamic State wametoa kanda ya video ikiwaonyesha wakiharibu maeneo ya thamani kubwa mjini Nimrod nchini Iraq.

 

10 years ago

GPL

MOTO WAHARIBU BWENI LA WANAWAKE MABIBO, DAR

Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda. Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua. Baadhi ya vitu vilivyookolewa.…

 

9 years ago

Mwananchi

Hekari 200 za mirungi zagunduliwa Same

Jumla ya vijiji 28 vya ukanda wa milimani iliyopo wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, vimebainika kuwa na mashamba makubwa ya mirungi zaidi ya hekari 260.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwekezaji adaiwa kupora ardhi hekari 3,700

BAADHI ya wananchi wa Kijiji cha Bihata, Kata ya Kyebitembe Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wamedai kuporwa ardhi yao ipatayo hekari 3,700 na mwekezaji, Diolex Joseph. Pia wananchi hao wanalalamikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani