Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hekari 200 za mirungi zagunduliwa Same

Jumla ya vijiji 28 vya ukanda wa milimani iliyopo wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, vimebainika kuwa na mashamba makubwa ya mirungi zaidi ya hekari 260.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mbegu mpya za kilimo zagunduliwa

KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma ametangaza kugundulika kwa aina mpya 27 za mbegu za mazao ya kilimo, zitakazofikishwa kwa wakulima kwa matumizi katika msimu wa kilimo wa 2015/2016.

 

10 years ago

Vijimambo

Maiti 421 zagunduliwa ndani ya kaburi moja huko DRC

Mfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamojaMfano wa moja ya kaburi lililozikwa watu wengi kwa pamoja
Mjadala mkali umezuka huko Kinshasa kufuatia kuzinduliwa kwa kaburi la pamoja ambalo lilizika watu 421 nje ya mji wa Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC.

Serikali ilielezea kwamba maiti zilizozikwa humo nyingi ni za watoto wachanga waliofariki wakati wa kuzaliwa kwenye mahospitali kadhaa pamoja na watu wazima ambao familia zao kwa kipindi kirefu walishindwa kugharamia mazishi. Lakini mashirika ya kutetea haki za...

 

10 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kusafirisha mirungi

Watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) jana walifikishwa mahakamani wakituhumiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva Mwananchi wakamatwa na mirungi

Polisi mkoani Iringa wanawashikilia watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30

>Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya viroba 30 yenye uzito wa kilo 30.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inavyopambana na biashara ya mirungi

Tanzania ni moja ya nchi duniani ambayo imeharamisha (imezuia) ulaji wa mirungi lakini inakabiliwa na changamoto kubwa kudhibiti biashara hiyo hasa ikizingatiwa nchini Kenya ni zao la biashara.

 

11 years ago

Habarileo

Kweleakwelea waharibu hekari 300 za mazao

Zaidi ya hekari 300 za mashamba ya mpunga katika vijiji vya Wami Luhindo, Wami Dakawa na Sagayo wilayani Mvomero mkoani, zimeharibiwa na ndege waharibifu aina ya kweleakwelea.

 

10 years ago

GPL

BOND, GABO WANASWA WAKISAGA MIRUNGI

Stori: Gladness Mallya
WASANII wa filamu nchini, Bond Bin Sinan na Salim Ahmed ‘Gabo’ hivi karibuni walinaswa wakisaga mirungi hadharani bila kujali kadamnasi. Meza ya wasanii wa filamu Gabo na Bond ikiwa na dozi ya kutosha ya mirungi. Ishu hiyo ilitokea katika Ukumbi wa Dar West, Tabata Dar kulikokuwa na sherehe ya bethdei ya Wastara Juma ambapo wasanii hao walikuwa wamejaza mirungi kwenye mfuko wa nailoni na...

 

5 years ago

Michuzi

Kinara wa usambazaji, uingizaji Mirungi anaswa

 NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Jeshi la Polisi jijini Mwanza, limefanikiwa kumtia mbaroni kinara wa usafirishaji na muuzaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi, Peter Charles Mwita alimaaarufu Peter Mirungi (46) mkazi wa Mtaa wa Rufiji, kwa makosa ya kusafirisha, kusambaza na kuuza mirungi jijini Mwanza.
Mbali na Peter jeshi hilo linawashilia watu wengine wawili kwa tuhuma za namna hiyo huku mmoja akiwakimbia polisi baada ya kuruka kutoka ndani ya gari alilokuwa akiliendesha kwenye kizuizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani