Kinara wa usambazaji, uingizaji Mirungi anaswa
![](https://1.bp.blogspot.com/-WAjmuPqLqzk/XmU5pXhoSxI/AAAAAAALiCE/v4BHI-AkCtwnyYZw5kl3x_HI0XdZPkdkwCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Jeshi la Polisi jijini Mwanza, limefanikiwa kumtia mbaroni kinara wa usafirishaji na muuzaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi, Peter Charles Mwita alimaaarufu Peter Mirungi (46) mkazi wa Mtaa wa Rufiji, kwa makosa ya kusafirisha, kusambaza na kuuza mirungi jijini Mwanza.
Mbali na Peter jeshi hilo linawashilia watu wengine wawili kwa tuhuma za namna hiyo huku mmoja akiwakimbia polisi baada ya kuruka kutoka ndani ya gari alilokuwa akiliendesha kwenye kizuizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UiOzwBPS2CE/XmU2-i9cRhI/AAAAAAALiBM/fU2VzMsfcRgIm590sdbuv4F-FBUnTzbSACLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
KINARA USAMBAZAJI ZANA HARAMU ZA UVUVI MBARONI MWANZA, POLISI WANNE WADAKWA KWA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-UiOzwBPS2CE/XmU2-i9cRhI/AAAAAAALiBM/fU2VzMsfcRgIm590sdbuv4F-FBUnTzbSACLcBGAsYHQ/s640/0.jpg)
KIGOGO na kinara wa uingizaji na usambazaji wa zana haramu za uvuvi katika Ziwa Victoria , Jeremiah Asama ( 48),mkazi wa Bwiru, Manispaa ya Ilemela ni miongoni mwa watu sita wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza, huku mtuhumiwa wa saba akidaiwa kutoroka.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro alisema juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kukamatwa kwa watu hao wakiwemo askari wanne wa jeshi hilo wanaodaiwa kukiuka maadili ya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Uingizaji shehena waongezeka bandarini
UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500 mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...
5 years ago
MichuziITALI YAONGOZA UINGIZAJI WATALII ZANZIBAR
Hayo amewasilisha Raya Mohammed Mahfoudh Afisa Takwimu Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu wa Serikali uliopo Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uingiaji wa wageni Zanzibar.
Amesema Nchi inayoongoza kuleta...
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’
MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....
10 years ago
Habarileo07 Oct
Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Hekari 200 za mirungi zagunduliwa Same
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Kortini kwa kusafirisha mirungi
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Tanzania inavyopambana na biashara ya mirungi