Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ITALI YAONGOZA UINGIZAJI WATALII ZANZIBAR

Na Mwashungi Tahir    Imeelezwa kwamba idadi walioingia nchini kwa mwezi wa January 2020 ni 58.761 sawa na ongezeko la asilimia 27.4 ikilinganishwa  na wageni 46,133 walioingia  mwezi wa January mwaka 2019.
Hayo amewasilisha  Raya Mohammed Mahfoudh Afisa Takwimu Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu wa Serikali  uliopo Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uingiaji wa wageni Zanzibar.
Amesema Nchi inayoongoza kuleta...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watalii kupungua Zanzibar

KAMPUNI inayojishughulisha na kupokea watalii imesema  hali ya kuwepo milipuko ya mabomu mara kwa mara katika visiwa vya Zanzibar inaweza kuchangia kupungua kwa watalii katika visiwa hivyo iwapo hali hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kuvamiwa watalii kwatia doa Zanzibar

Katibu Mkuu wa Tume ya Utalii Zanzibar, Salehe Ramadhani Ferouz, amesema mashambulizi ya baadhi ya watalii waliowahi kutembelea visiwa vya Zanzibar, yameifanya picha ya kisiwa hicho cha amani kubadilika.

 

10 years ago

Vijimambo

Watalii bado kivutia kikubwa Zanzibar

Kizimkazi imekuwa kivutio Kikubwa cha Watalii kutoka Sehemu mbali mbali Ulimwenguni kuja kuangalia Dolphine katika Bahari Hind ya Zanzibar,Afrika Mashariki Kwao ni Kivutio cha kuwatia Hamasa hasa kwa Kuwaona vile Wanavyoshuhulika katika maeneo yao na kupata fursa ya kuwapiga picha na video Wavuvi wa Kizimkazi hufaidika na shughuli hiyo ya kuwapeleka Watalii kuona Umashuhuri wa Dolphin wa Bahari hiyo walisema wakati nilipofanya mahojiano nao katika ziara yangu huko zenj.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wawatoa hofu watalii Zanzibar

Polisi imewatoa wasiwasi wananchi wa visiwani hapa na watalii kutoka nchi ya nje ikisema  itamarisha  ulinzi na usalama katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR WAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA WATALII WANAOTOKEA NCHINI ITALY

Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezuia uingiaji wa ndege za kitalii kutoka nchini Italy kuja Zanzibar ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa maradhi ya Corona.

Akizungumza na waandishi wa Habari Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed huko katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja kuhusu mwenendo wa maradhi ya Corona yaliyosambaa Ulimwenguni amesema wamezuia uingiaji wa ndege hizo ili kuchukua tahadhari na ugonjwa huo usisambae nchini.

Alifahamisha kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa labadilishwa kuwa msikiti Itali

Iceland imezua hisia kali wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya usanii katika mji wa Venice nchini Italy baada ya kulibadilisha kanisa ambalo lilikuwa halitumiki kuwa msikiti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chama tawala nchini Itali chapata pigo

Matokeo ya kwanza ya uchaguzi nchini Itali yanaonyesha kuwa chama tawala kimepata pigo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uingizaji shehena waongezeka bandarini

UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500  mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...

 

10 years ago

Michuzi

ZOEZI LA MAOMBI YA PASIPOTI KWA WATANZANIA NCHINI ITALI LAENDELEA

Maofisa wa Uhamiaji kutoka Dar Es Salaam na Zanzibar wameanza zoezi la kupokea maombi ya pasipoti kutoka kwa Watanzania waliopo nchini Italy. Maofisa hao wanategemewa kuelekea katika nchi za Turkey na Greece,kwa ajili ya zoezi hilo hilo.
 Haya ni matunda ya Kamati ya Diaspora iliyokutana na Mh Balozi James Alex Msekela, mwezi juni mwaka huu. Kamati ilikutana na balozi na maofisa wa juu wa kibalozi kwa ajili ya kutambulisha kamati na uongozi wake,na pia kuwakilisha kero na matatizo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani