Kuvamiwa watalii kwatia doa Zanzibar
Katibu Mkuu wa Tume ya Utalii Zanzibar, Salehe Ramadhani Ferouz, amesema mashambulizi ya baadhi ya watalii waliowahi kutembelea visiwa vya Zanzibar, yameifanya picha ya kisiwa hicho cha amani kubadilika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Watalii kupungua Zanzibar
KAMPUNI inayojishughulisha na kupokea watalii imesema hali ya kuwepo milipuko ya mabomu mara kwa mara katika visiwa vya Zanzibar inaweza kuchangia kupungua kwa watalii katika visiwa hivyo iwapo hali hiyo...
10 years ago
Vijimambo30 Sep
Watalii bado kivutia kikubwa Zanzibar
Kizimkazi imekuwa kivutio Kikubwa cha Watalii kutoka Sehemu mbali mbali Ulimwenguni kuja kuangalia Dolphine katika Bahari Hind ya Zanzibar,Afrika Mashariki Kwao ni Kivutio cha kuwatia Hamasa hasa kwa Kuwaona vile Wanavyoshuhulika katika maeneo yao na kupata fursa ya kuwapiga picha na video Wavuvi wa Kizimkazi hufaidika na shughuli hiyo ya kuwapeleka Watalii kuona Umashuhuri wa Dolphin wa Bahari hiyo walisema wakati nilipofanya mahojiano nao katika ziara yangu huko zenj.
5 years ago
MichuziITALI YAONGOZA UINGIZAJI WATALII ZANZIBAR
Na Mwashungi Tahir Imeelezwa kwamba idadi walioingia nchini kwa mwezi wa January 2020 ni 58.761 sawa na ongezeko la asilimia 27.4 ikilinganishwa na wageni 46,133 walioingia mwezi wa January mwaka 2019.
Hayo amewasilisha Raya Mohammed Mahfoudh Afisa Takwimu Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu wa Serikali uliopo Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uingiaji wa wageni Zanzibar.
Amesema Nchi inayoongoza kuleta...

9 years ago
Mwananchi11 Sep
Polisi wawatoa hofu watalii Zanzibar
Polisi imewatoa wasiwasi wananchi wa visiwani hapa na watalii kutoka nchi ya nje ikisema itamarisha ulinzi na usalama katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ub5nufmFQwY/XmJfQDr5nsI/AAAAAAALhlg/j43I41doM-kxJtK9VuwkpywS8Uzgh3TKACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ZANZIBAR WAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA WATALII WANAOTOKEA NCHINI ITALY
Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezuia uingiaji wa ndege za kitalii kutoka nchini Italy kuja Zanzibar ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa maradhi ya Corona.
Akizungumza na waandishi wa Habari Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed huko katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja kuhusu mwenendo wa maradhi ya Corona yaliyosambaa Ulimwenguni amesema wamezuia uingiaji wa ndege hizo ili kuchukua tahadhari na ugonjwa huo usisambae nchini.
Alifahamisha kuwa...

Vijimambo13 Aug
DOA LA LOWASA HALITOKI
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/s480x480/11887843_1616583928600651_1534355233910691096_n.jpg?oh=4d5cd093dc4c3017ea458de73862fc04&oe=567EF25B)
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Bomoabomoa yatia doa Krismasi
Baadhi ya wakazi wa Bonde la Mkwajuni na Msimbazi Manispaa ya Kinondoni waliovunjiwa nyumba zao na Serikali, wamesherekea Sikukuu ya Krismasi juu ya vifusi, huku wengi wao wakisema hawajui kama leo (jana) ni sikukuu.
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Wachezaji 7 wa Costa Rica hawana doa
Wachezaji 7 wa Costa Rica waliolazimishwa kupimwa mkojo baada ya mechi ya Italia hawakutumia dawa.
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Mihuri yatia doa upigaji kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imelazimika kutumia mihuri ya mwaka 2010 katika vituo mbalimbali vya Jimbo la Morogoro Mjini baada ya mihuri ya mwaka huu kuwa na matatizo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania