ZANZIBAR WAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA WATALII WANAOTOKEA NCHINI ITALY
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ub5nufmFQwY/XmJfQDr5nsI/AAAAAAALhlg/j43I41doM-kxJtK9VuwkpywS8Uzgh3TKACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezuia uingiaji wa ndege za kitalii kutoka nchini Italy kuja Zanzibar ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa maradhi ya Corona.
Akizungumza na waandishi wa Habari Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed huko katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja kuhusu mwenendo wa maradhi ya Corona yaliyosambaa Ulimwenguni amesema wamezuia uingiaji wa ndege hizo ili kuchukua tahadhari na ugonjwa huo usisambae nchini.
Alifahamisha kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili05 May
Vurusi vya corona: Jinsi kampuni ya ndege ya Mahan Air nchini Iran ilivyokaidi marufuku na kusambaza corona mashariki ya kati.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Uwanja wa Ndege Songwe wawa kivutio cha watalii
UWANJA wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, mkoani hapa, umekuwa sehemu ya vivutio vya utalii vinavyopatikana kwenye mikoa ya Kanda za Juu Kusini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa...
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ
10 years ago
CloudsFM14 Jan
Wapiga ramli wapigwa marufuku
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.
Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Aug
Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa:
Polisi Dar yapiga marufuku ziaza za ‘mitaani’ za wagombea Urais: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea Urais wa Tanzania 2015 kufanya mikusanyiko isiyokuwa rasmi kutembelea vituo vya daladala, bodaboda au […]
The post Polisi wapiga marufuku maandamano ya Lowassa: appeared first on Mzalendo.net.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3QuwAYi3_v8/XsaThlAdLGI/AAAAAAALrJY/ZYP-yFrESsg8_kJ4bu_228q8fG2iplWSgCLcBGAsYHQ/s72-c/4a37514d-45ea-481b-8c2f-25296c237678.jpg)
NDEGE YA KWANZA YA WATALII YAWASILI LEO UWANJA WA KIA, ZINGINE KUTUA KUANZIA MEI 28
SERIKALI imesema leo majira ya saa 3:30 asubuhi, Ndege ya kwanza iliyobeba watalii ikitokea nchini Ugiriki imetua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ikiwa ni mwanzo wa kurejea kwa usafiri wa anga kwa Ndege za kimataifa nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe wakati akizungumza na wandishi wa habari leo ofisini kwake jijini Dodoma.
Waziri Kamwelwe amesema Ndege iliyotua leo ilikua na watalii wanne na watu...
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya corona:Rais Magufuli atoa maagizo ndege za kubeba watalii kuingia
5 years ago
BBCSwahili18 May
Virusi vya corona: Tanzania kufufua safari za ndege za abiria na watalii, je imejipanga vipi?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vovp4T1uHu8/Xt-dmTYiB4I/AAAAAAALtMo/x53f2-IE67E3xD-DYST1WirLxBsKGgTpwCLcBGAsYHQ/s72-c/290.jpg)
UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR
Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.
Makamu wa Pili wa...