Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingizaji shehena waongezeka bandarini

UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500  mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA KIWANDA CHA OCEAN ALLUMINIUM AMBACHO SHEHENA YA MALIGHAFI YAKE IMEKWAMA BANDARINI

 Waziri Zungu akikagua bidhaa za Sufuria zinazozalishwa na kiwanda cha Ocean Alluminium wakati alipofanya ziara kiwandani hapo. Picha na Charles Kombe Waziri Zungu akikagua baadhi ya nyaraka mbalimbali za kimazingira za kiwanda cha Ocean Alluminium alipofika katika kiwanda hicho. Picha na Charles Kombe
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Azzan Zungu (Kulia) akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira wakati...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’

MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.

 

10 years ago

Mwananchi

Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa

Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Tanga Cement) kimeiomba Serikali kudhibiti uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

 

5 years ago

Michuzi

ITALI YAONGOZA UINGIZAJI WATALII ZANZIBAR

Na Mwashungi Tahir    Imeelezwa kwamba idadi walioingia nchini kwa mwezi wa January 2020 ni 58.761 sawa na ongezeko la asilimia 27.4 ikilinganishwa  na wageni 46,133 walioingia  mwezi wa January mwaka 2019.
Hayo amewasilisha  Raya Mohammed Mahfoudh Afisa Takwimu Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu wa Serikali  uliopo Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uingiaji wa wageni Zanzibar.
Amesema Nchi inayoongoza kuleta...

 

5 years ago

Michuzi

Kinara wa usambazaji, uingizaji Mirungi anaswa

 NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Jeshi la Polisi jijini Mwanza, limefanikiwa kumtia mbaroni kinara wa usafirishaji na muuzaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi, Peter Charles Mwita alimaaarufu Peter Mirungi (46) mkazi wa Mtaa wa Rufiji, kwa makosa ya kusafirisha, kusambaza na kuuza mirungi jijini Mwanza.
Mbali na Peter jeshi hilo linawashilia watu wengine wawili kwa tuhuma za namna hiyo huku mmoja akiwakimbia polisi baada ya kuruka kutoka ndani ya gari alilokuwa akiliendesha kwenye kizuizi...

 

10 years ago

Michuzi

MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUDHIBITI UINGIZAJI WA BIDHAA HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akiwafafanulia jambo maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama ya nchini Marekani katika mkutano wao uliofanyika jijini Washington DC katika Ukumbi wa Mkutano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Katika mazungumzo yao maafisa hao wa Marekani wanatarajia kutua nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji, Polisi na Maafisa Forodha ya kushirikiana kwa Serikali hizo mbili kwa ajili ya kudhibiti...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.

Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...

 

9 years ago

Michuzi

MAKARANI WA MAHAKAMA MKOA WA DAR ES SALAAM WAPEWA MAFUNZO YA UINGIZAJI WA TAARIFA ZA MASHAURI KWA NJIA YA KI-ELECTRONIKI

 Mshiriki wa mafunzo elekezi juu ya uingizaji wa takwimu za mashauri kwa njia ya kielectroniki (Judicial Stastical Dashboard System JSDS) kwa Makarani wa Mahakama Mkoa wa Dar Es Salaam, Bi. Tumaini Mwalioga akisisitiza neno wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo katika chuo cha LearnIt leo Jijini Dar Es Salaam. Mgeni rasmi katika mafunzo maalum ya mfumo wa kuingiza taarifa ya mashauri (Judicial Stastical Dashboard System (JSDS)  Mhe.Solanus Nyimbi (walioketi katikati)  Mhe. Mustapha Sihani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani