Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa

Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Tanga Cement) kimeiomba Serikali kudhibiti uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi Kishapu wawaliza BAWACHA

WANAKIJIJI wa Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamewatoa machozi viongozi waliokuwa wameambatana na msafara wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee, baada ya kuwaonyesha majeraha ya risasi...

 

10 years ago

GPL

OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WAO

Stori: Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan, juzikati waliwaliza machozi ya furaha walimu wao wa shule ya Mbezi High School iliyopo Kimara walikosoma, baada ya kufika ghafla kwa ajili ya kuwasalimia. MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big...

 

10 years ago

Mtanzania

Wimbo wa Wiz Khalifa wawaliza mashabiki wa Paul Walker

Wiz-KhalifaWIMBO wa ‘See You Again’ ulioimbwa na wasanii mashuhuri, Wiz Khalifa na Charlie Puth, uliwaliza mashabiki wengi wa aliyekuwa mcheza filamu, Paul Walker, kutokana na maneno ya maombolezo pamoja na vipande vinavyomuonyesha mwigizaji huyo akiwa katika matukio mbalimbali katika filamu ya mwendelezo ya ‘Fast & the Furious franchise’.

Muongozaji wa video hiyo, James Wan, aliandika kupitia mtandao wa kijamii namna aambavyo walikuwa na fikra kabla Paulo Walker hajafariki katika ajali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uingizaji shehena waongezeka bandarini

UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500  mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aagiza uingizaji wa bidhaa udhibitiwe

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge amezitaka mamlaka husika kuimarisha ulinzi mipakani na bandarini ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa hafifu zisizo na viwango, ikiwamo mifuko ya plastiki ambayo imekuwa ikizagaa mitaani na kuchafua mazingira.

 

5 years ago

Michuzi

ITALI YAONGOZA UINGIZAJI WATALII ZANZIBAR

Na Mwashungi Tahir    Imeelezwa kwamba idadi walioingia nchini kwa mwezi wa January 2020 ni 58.761 sawa na ongezeko la asilimia 27.4 ikilinganishwa  na wageni 46,133 walioingia  mwezi wa January mwaka 2019.
Hayo amewasilisha  Raya Mohammed Mahfoudh Afisa Takwimu Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali  huko katika Ukumbi wa Ofisi ya Mtakwimu wa Serikali  uliopo Mazizini wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uingiaji wa wageni Zanzibar.
Amesema Nchi inayoongoza kuleta...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tumefanikiwa kudhibiti uingizaji dawa za kulevya’

MKUU wa kitengo cha kudhibiti dawa za kulevya nchini, Godfrey Nzowa amesema mawasiliano baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki yamefanikisha kudhibiti uingizwaji wa dawa za kulevya hapa nchini....

 

5 years ago

Michuzi

Kinara wa usambazaji, uingizaji Mirungi anaswa

 NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA Jeshi la Polisi jijini Mwanza, limefanikiwa kumtia mbaroni kinara wa usafirishaji na muuzaji wa dawa za kulevya aina ya mirungi, Peter Charles Mwita alimaaarufu Peter Mirungi (46) mkazi wa Mtaa wa Rufiji, kwa makosa ya kusafirisha, kusambaza na kuuza mirungi jijini Mwanza.
Mbali na Peter jeshi hilo linawashilia watu wengine wawili kwa tuhuma za namna hiyo huku mmoja akiwakimbia polisi baada ya kuruka kutoka ndani ya gari alilokuwa akiliendesha kwenye kizuizi...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanikiwa Kupunguza Uingizaji wa Dawa za Kulevya Nchini kwa 90%.

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO

Tanzania imefanikiwa kupunguza uingizaji wa dawa za kulevya kwa asilimia 90 kufuatia jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali za kupunguza tatizo la dawa za kulevya nchini.

Akizungumza leo jijini Dodoma, katika Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama alisema kuwa tatizo la dawa za kulevya katika jamii ni suala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani