Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Kishapu wawaliza BAWACHA

WANAKIJIJI wa Maganzo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, wamewatoa machozi viongozi waliokuwa wameambatana na msafara wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee, baada ya kuwaonyesha majeraha ya risasi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uingizaji wa saruji kiholela wawaliza wazawa

Kiwanda cha Saruji cha Tanga (Tanga Cement) kimeiomba Serikali kudhibiti uingizwaji wa saruji kutoka nje ya nchi.

 

10 years ago

GPL

OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WAO

Stori: Musa Mateja/Risasi Mchanganyiko
MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan, juzikati waliwaliza machozi ya furaha walimu wao wa shule ya Mbezi High School iliyopo Kimara walikosoma, baada ya kufika ghafla kwa ajili ya kuwasalimia. MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big...

 

10 years ago

Mtanzania

Wimbo wa Wiz Khalifa wawaliza mashabiki wa Paul Walker

Wiz-KhalifaWIMBO wa ‘See You Again’ ulioimbwa na wasanii mashuhuri, Wiz Khalifa na Charlie Puth, uliwaliza mashabiki wengi wa aliyekuwa mcheza filamu, Paul Walker, kutokana na maneno ya maombolezo pamoja na vipande vinavyomuonyesha mwigizaji huyo akiwa katika matukio mbalimbali katika filamu ya mwendelezo ya ‘Fast & the Furious franchise’.

Muongozaji wa video hiyo, James Wan, aliandika kupitia mtandao wa kijamii namna aambavyo walikuwa na fikra kabla Paulo Walker hajafariki katika ajali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 3/- kujenga hospitali Kishapu

UJENZI wa hospitali ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, inayotarajia kuanza kazi Oktoba mwaka huu unatarajia kugharimu sh bilioni tatu. Akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo kwa  Waziri wa...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

10 years ago

Michuzi

KISHAPU YAFANIKIWA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME

 Mkazi wa kijiji cha Masanga wilayani Same, Magreth William akiwaangalia mbuzi wake aliowapata kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia mradi wa Kupunguza Athari za Ukame unaofadhiliwa na UNICEF,  tarehe 2, Juni 2015.Mkaguzi Hesabu za Serikali, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali nchini, (kushoto), Jacob Ndaki  akimsikiliza Mkulima wa mtama, kijijini Masanga wilayani Kishapu, Magreth William (kulia ) wakati wa ufuatiliaji wa utekelezaji mradi wa Kupunguza Athari za Ukame unaoratibiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa Kishapu matatani fedha za maabara

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Kishapu kumkamata Ofisa biashara wa wilaya hiyo, Konisaga Mwafongo kwa tuhuma za kuiba Sh milioni 10 za ujenzi wa maabara.

 

11 years ago

Habarileo

Bilioni 1/- kujenga stendi ya mabasi Kishapu

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imeanza ujenzi wa stendi ya mabasi ya abiria katika eneo la kijiji cha Isoso unaogharimu jumla ya Sh bilioni moja.

 

10 years ago

Michuzi

Kishapu bila Maafa ya Ukame inawezekana - Mutagurwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi.Jane Mutagurwa akiwasisitiza Wataalam katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Mwamalasa, Masanga na Langana Wilayani Kishapu wakati akifungua mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014. (Kulia) ni Mratibu Maafa Ofisi ya Waziri ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani