Mbegu mpya za kilimo zagunduliwa
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Sophia Kaduma ametangaza kugundulika kwa aina mpya 27 za mbegu za mazao ya kilimo, zitakazofikishwa kwa wakulima kwa matumizi katika msimu wa kilimo wa 2015/2016.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA


Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...
5 years ago
Michuzi24 Apr
WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA NA SUA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAZAO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiongea wakati akikagua shamba darasa la zao la chai alipotembelea Chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kulia kwake ni Dkt.Kudra Abdul Mkuu wa Idara ya Mimea Vipande na Kilimo cha Bustani.

atibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche wa nanasi wakati alipokagua shamba darasa la kufundishia wanafunzi chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kushoto ni Bw.Ramadhani Omari Mhadhiri wa mafunzo ya bustani na wa kwanza kulia ni...
11 years ago
Dewji Blog21 May
Makampuni ya utafiti yashauriwa kuongeza bidii kupata mbegu bora za kilimo
Na Nathaniel Limu, Singida
MAKAMPUNI yanayojishughulisha na tafiti mbali mbali za nafaka yameshauriwa kuongeza juhudi zaidi ili kupata mbegu bora zitakazowasaidia wakulima kupata chakula cha kutosha na kujikomboa kiuchumi.
Wito huo umetolewa hivi karibuni na Diwani wa Kata ya Mwasauya (CCM) tarafa ya Ilongero wilaya ya Singida, Seleman Ntandu wakati akizungumza kwenye kilele cha sherehe za wakulima wa kata ya Ikhanoda na Mwasauya.
Amesema ili kilimo kiweze kuwa na tija kwa wakulima hasa...
5 years ago
Michuzi
KUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA NCHINI
Na Bashiri Salum,Morogoro.
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini.
Akizungumza na watumishi leo alipotembelea taasisi hiyo Katibu Mkuu Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema ASA ni Taasisi pekee ya mbegu nchini hivyo inatakiwa kuwafika wakulima wote nchini.
Huduma ya mbegu bora inatakiwa na kilia mkulima hivyo ni lazima ASA wafikirie namna ya kushusha huduma zao chini kwa wakulima...
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA KILIMO ENDELEVU TANZANIA LAKAMILISHA MTALAA MPYA WA KILIMO,VYUO 29 KUANZA KUUTUMIA
SHIRIKA la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) likamilisha mtaala mpya wa kilimo ambao unatarajiwa kuanza kutumia kwenye vyuo vya mafunzo ya kilimo 29 nchini ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha mtaala huo unaendana na mahitaji ya sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari za kilimohai wakati wa mafunzo maalumu ya kilimo hicho, Meneja wa Mradi wa SAT Mgeta Daud amesema mtaala huo wameufanikisha kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Divisheni ya Mafunzo,...
5 years ago
MichuziTunapaswa kujivunia kwa kuongeza eneo la uzalishaji wa mbegu, miche bora pamoja usajili wa Wakulima na watoa huduma za kilimo – Waziri Hasunga
10 years ago
Habarileo25 May
Mbegu mpya ya mahindi yatambulishwa
MBEGU mpya ya mahindi, Chapa Tembo 719, yenye uwezo wa kuzalisha gunia 45 za nafaka hiyo, imetambulishwa kwa wakulima wa kongani ya Ihemi ya Ukanda wa Kuendeleza Kilimo Kusini Mwa Tanzania (SAGGOT) kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2015/2016 na kuendelea.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Tanzania sasa yagundua mbegu mpya ya mahindi
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10