KUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA NCHINI
Na Bashiri Salum,Morogoro.
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini.
Akizungumza na watumishi leo alipotembelea taasisi hiyo Katibu Mkuu Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema ASA ni Taasisi pekee ya mbegu nchini hivyo inatakiwa kuwafika wakulima wote nchini.
Huduma ya mbegu bora inatakiwa na kilia mkulima hivyo ni lazima ASA wafikirie namna ya kushusha huduma zao chini kwa wakulima...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTunapaswa kujivunia kwa kuongeza eneo la uzalishaji wa mbegu, miche bora pamoja usajili wa Wakulima na watoa huduma za kilimo – Waziri Hasunga
5 years ago
MichuziRC TABORA AAGIZA UFUNGAJI WA MFUMO WA KUKUSANYA MAPATO KATIKA MAENEO YA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA
NA TIGANYA VINCENT
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuhakikisha wanafunga Mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa katika maeneo yote yanayosuka na utoaji wa huduma za afya ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji mapato.
Ukusanyaji wa mapato kwa njia za stakabadhi zilizo katika vitabu zimesababisha baadhi ya mapato kupotea na mengine kuishia mifukoni mwa watumishi wasio waaminifu.
Mwanri ametoa kauli hiyo jan20a wakati wa ukaguzi wa...
5 years ago
MichuziWIZARA YA KILIMO YAWAPONGEZA WATAFITI WA MBEGU ZA MICHIKICHI KWA KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi uliozalishwa na Kituo cha utafiti TARI Kihinga mkoa wa Kigoma leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya akikagua kitalu cha miche bora ya zao la michikichi katika Gereza Kwitanga mkoa wa Kigoma leo alipotembelea kuona utekelezaji wa...
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini
Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Bw. Ridhiwan Wema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar.
Frank-Mvungi-Maelezo
Serikali yatoa usajili kwa makampuni 51 ya wakala Binafsi wa Huduma za ajira nchini kati ya 87 yaliyowasilisha maombi yake kwa Kamishna wa kazi.
Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es salaam na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwan Wema wakati wa mkutano na waansishi wa habari.
Makampuni yaliyosalia 36 hayakupata usajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
9 years ago
MichuziMHE. JENISTA AAGIZA KAMATI ZA MENEJIMENTI YA MAAFA NCHINI KUWATAKA WANAOISHI KWENYE MAENEO HATARISHI KUHAMA MARA MOJA
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto
5 years ago
MichuziKUSAYA: VIJANA JIFUNZENI KILIMO BIASHARA
Kijana Hefsida Olloo (Kushoto)akitoa maelezo ya nanma alivyofanikiwa kuzalisha nyanya katika kitalu kwenye kambi Atamizi ya SUA .Hefsida ni mhitimu wa Shahada ya Sayansi katika Hisabati toka Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka 2018 aliyeamua kufanya kilimo biashara.Kulia ni Katibu...
5 years ago
MichuziWAKULIMA WASHAURIWA KUJIKITA KATIKA KILIMO CHA ROZELA
Janeth Maro akielezea namna ambavyo wanaandaa mbolea ambayo si ya kemikali kwa ajili ya kuweka kwenye mazao mbalimbali
Moja ya bwawa kubwa la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 12 kwa ajili ya kumwagilia mazao yaliwepo kwenye Kituo cha Utafito cha SAT
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akionesha miti ambayo inatumika kurejesha rotuba kwenye ardhi ili mazao yanayopandwa yaweze kustawi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Janeth Maro akifafanua jambo...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10