Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MHE. JENISTA AAGIZA KAMATI ZA MENEJIMENTI YA MAAFA NCHINI KUWATAKA WANAOISHI KWENYE MAENEO HATARISHI KUHAMA MARA MOJA

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akitoa maagizo ya utekelezaji kwa Kamati za maafa katika ngazi zote nchini kuhusu tahadhari ya uwezekano wa kuwepo kwa mvua za El- Nino tarehe 22 Desemba,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA MAAFA ZA TAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO WA MENEJIMENTI YA MAAFA


Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Kagera, Fikira Kisimba (katikati)
akifuatilia mafunzo ya menejimenti ya maafa wakati wa mafunzo kwa
waratibu maafa mkoani Kagera tarehe 24 Juni, 2015, (mwenye miwani) ni
Mkurugenzi msaidizi (Mipango na Utafiti), Idara ya Uratibu maafa Ofisi
ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho.Mwakilishi wa  Mkuu wa Polisi wilaya ya Bukoba, Mkaguzi John Kayunga
akifafanua masuala ya menejimenti ya maafa katika Jeshi la Polisi
mkoani Kagera wakati wa  mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Jenista: Kukitokea maafa El Nino, kamati kuwajibishwa

Serikali imesema itawawajibisha wajumbe wa kamati za maafa watakaoshindwa kuchukua hadhari dhidi ya maafa yatakayosababishwa mabadiliko ya tabia ya nchi na mvua za El Nino kwenye maeneo yao.

 

5 years ago

Michuzi

RC NDIKILO AAGIZA WANAOISHI MABONDENI RUFIJI WAHAME ILI KUJINUSURU NA MAAFA YA MVUA

NA MWAMVUA MWINYI,RUFIJI

MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameagiza, wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo salama, ili kujiepusha na maafa na madhara makubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Amesema ,hadi sasa maafa tayari ni makubwa na takwimu zilizofika mkoani hadi sasa ni takriban hekta 6,600 za mashamba na makazi ya watu zimeathirika...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU IDARA YA MAAFA --YATOA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4, 2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam.Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiiza Mkufunzi wa masuala ya kujikinga na dharura ya moto kutoka Chuo cha Zima moto Bw. Rajabu Mwangalamo wakati wa Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa yaliyofanyika Baraza la Maaskofu Kurasini Dar es Salaam Juni 4, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awata kuhama wananchi wanaoishi kwenye nyumba kuu kuu za mji Mkongwe

610

Makamu wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia nyumba iliyoporomoka dari na kujeruhi wakazi wake watatu hapo Mtaa wa Ukutani Mjini Zanzibar. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mmiliki wa Nyumba Hiyo Bwana Mzee Abdulla Juma.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  amewaagiza wananchi wanaoishi kwenye nyumba  mbovu na zile zilizochakaa ndani ya Mji Mkongwe  wa Zanzibar wafanye utaratibu wa kuhama kwenye nyumba hizo mapema iwezekanavyo ili kunusuru maisha...

 

9 years ago

Michuzi

DC AAGIZA MUUGUZI ALIYEKAMATWA KWA WIZI WA DAWA SHINYANGA ASIMAMISHWE KAZI MARA MOJA

  Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro amefanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha afya Kambarage mjini Shinyanga ili kujionea hali halisi jinsi huduma zinavyotolewa kwa wananchi siku moja tu baada ya muuguzi wa kituo hicho kukamatwa kwa tuhuma ya kuiba dawa za serikali.Pichani ni mkuu wa wilaya Josephine Matiro na katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga wakiwa katika chumba cha kuhifadhia dawa wakiwa wamepigwa butwaa baada ya kuona chumba kimesheheni dawa wakati mara kwa mara...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi

HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI

Kaimu Kamishna Msaidizi Kitengo cha huduma kwa familia, watoto, malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Philbert Kawemama (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akifungua semina ya siku moja inayohusu watoto waishio katika mazingira hatarishi na kongamano la watoto hao litakalofanyika Februari 18 hadi 20 mwaka huu katika ukumbi wa Mwalimu J.K Nyerere Convention Centre. Kushoto ni Kaimu Kamishna Msaidizi Huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani