RC NDIKILO AAGIZA WANAOISHI MABONDENI RUFIJI WAHAME ILI KUJINUSURU NA MAAFA YA MVUA
NA MWAMVUA MWINYI,RUFIJI
MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameagiza, wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo salama, ili kujiepusha na maafa na madhara makubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Amesema ,hadi sasa maafa tayari ni makubwa na takwimu zilizofika mkoani hadi sasa ni takriban hekta 6,600 za mashamba na makazi ya watu zimeathirika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog19 Mar
WANAOISHI MABONDENI MUHORO NA CHUMBI WAONDOKE KUJINUSURU NA MAAFA YA MVUA-RC NDIKILO
*******************************NA MWAMVUA MWINYI,RUFIJIMWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo ameagiza, wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni ambayo yana athari kubwa kwa mvua ,huko Muhoro na Chumbi ,wilayani Rufiji kuhamia maeneo ya yaliyo salama kwako ili kujiepusha na maafa na madhara makubwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Amesema ,hadi sasa maafa tayari ni makubwa na takwimu zilizofika mkoani hadi sasa ni takriban hekta 6,600 za mashamba...
9 years ago
MichuziMHE. JENISTA AAGIZA KAMATI ZA MENEJIMENTI YA MAAFA NCHINI KUWATAKA WANAOISHI KWENYE MAENEO HATARISHI KUHAMA MARA MOJA
11 years ago
Mwananchi05 Feb
DC Rufiji aagiza madiwani kulipa kodi ya mapato
9 years ago
StarTV16 Nov
Ujenzi waendelea kwa kasi mabondeni Dar es Salaam licha ya athari za mvua
Shughuli za kuendeleza maeneo ya Mabondeni jijini Dar es Salaam zinachukua kasi kubwa licha ya Serikali kutoa tahadhari na kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama.
Hatua hiyo inachukuliwa kutokana na uelewa mdogo wa jamii juu ya madhara yanayotokea pindi mvua nyingi zinaponyesha na kusababisha maafa kwa jamii iishiyo maeneo hayo.
Katika hali ya kushangaza maeneo haya ya mabondeni ambayo Serikali imekuwa ikizuia watu kuishi, kutokana na kuwa hatarishi kwa maisha, wakati mvua za masika...
10 years ago
Uhuru NewspaperMvua ya maafa KAHAMA
Nyumba zaharibiwa, JK atuma rambirambi Watu 40 wapoteza maisha, 85 wajeruhiwa
Hali ya hewa yasema zitanyesha zaidi
Na waandishi wetu, Dar na KahamaWAKATI Watanzania wakiomboleza kifo cha mwanasiasa mahiri, Kapteni mstaafu John Komba, taifa limeingia tena kwenye huzuni na simanzi kutokana na watu 40 kupoteza maisha. Pia, watu wengine 82 wamejeruhiwa vibaya na wengine hali zao ni mbaya huku nyumba, mifugo na mazao, vikiharibiwa kutokana na mvua ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kutikisa...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mvua yaleta maafa
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Mvua yaleta maafa Msumbiji
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mvua yaleta maafa Angola
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Mvua yaleta maafa Lugoba
MVUA iliyoambata na upepo mkali iliyonyesha hivi karibuni imeezua nyumba zaidi ya 150, huku kati ya hizo kuta zake zikiwa zimeanguka na kuwafanya wahanga wa tukio hilo kutafuta msaada wa...