Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi waendelea kwa kasi mabondeni Dar es Salaam licha ya athari za mvua

Shughuli za kuendeleza maeneo ya Mabondeni jijini Dar es Salaam zinachukua kasi kubwa licha ya Serikali kutoa tahadhari na kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama.

Hatua hiyo inachukuliwa kutokana na uelewa mdogo wa jamii juu ya madhara yanayotokea pindi mvua nyingi zinaponyesha na kusababisha maafa kwa jamii iishiyo maeneo hayo.

Katika hali ya kushangaza maeneo haya ya mabondeni ambayo Serikali imekuwa ikizuia watu kuishi, kutokana na kuwa hatarishi kwa maisha, wakati mvua za masika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA UJENZI WA NEW KAWE CITY WAENDELEA KWA KASI.

Pichani ni maandalizi ya ujenzi wa mradi wa New Kawe City unaoendelea kwa kasi hivi sasa katika eneo la Tanganyika packers,Kinondoni jijini Dar.Mradi huo unasimamiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).Camera ya Globu ya Jamii ilikatiza maeneo hayo jioni ya leo na kujionea maandalizi makubwa ya ujenzi huo ambao wakazi wake watapata makazi bora na ya kudumu kwa bei nafuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),Bwa.Nehemia Mchechu aliwahi kuzungumza kwenye moja ya jukwaa la...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA DARAJA LA MTO KILOMBERO WAENDELEA KWA KASI

 Mafundi na wahandisi ujenzi wakiendelea na kazi ya kusuka nguzo kuu katika daraja la mto Kilombero kama walivyokutwa eneo la Kivukoni, mjini Ifakara. Daraja hilo linajengwa na mkandarasi M/S China Railway 15 Group Corparation ya China na lina lenye  urefu wa mita 384  ambapo gharama yake ni Sh bilioni 56 ikiwa na kuweka lami  ya kilometa 9.142 fedha  zilizotolewa na Serikali ya Tanzania  Picha na John Nditi

 

5 years ago

Michuzi

Ujenzi wa SGR Waendelea kwa Kasi, Trilioni 2.957 Zatumika hadi Sasa



Na Frank Mvungi- MAELEZO

Serikali imetumia kiasi cha Shilingi Trilioni 2.957 kutekeleza mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa kwa kiwango cha Kimataifa (SGR) huku kasi ya utekelezaji ikiongezeka.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dodoma , Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Dkt. Hassan Abbasi amesema kuwa utekelezaji wa mradi huo unaendelea kama ulivyopangwa.

“Mradi wa SGR kwa kipande cha Dar es Salaam na Morogoro umefikia...

 

10 years ago

GPL

UJENZI STENDI YA MABASI YAENDAYO KASI WAENDELEA

Ujenzi wa stendi ya mabasi yaendayo kasi ukiendelea eneo la Kariakoo. Mafundi wakiwa kazini. Taswira ya eneo hilo.…

 

11 years ago

GPL

UJENZI BARABARA YA KAWAWA KWA MAGARI YAENDAYO KASI DAR

Tingatinga likiweka mabomba ya maji pembezoni mwa barabara ya Kawawa ambayo inapitiwa na ujenzi wa barabara maalum ya magari yaendayo kasi jijini Dar es Salaam katika Barabara ya Morogoro.    Mafundi wakiwa kazini kuhakikisha kazi inakwenda vyema.
(Picha/ Chande…

 

10 years ago

Mwananchi

Dar es Salaam: Linalotisha Afrika kwa kasi kiuchumi

Huenda wengi wasiamini kwa haraka, lakini taarifa za wataalamu wa uchumi, zinaonyesha Jiji la Dar es Salaam ndilo linaloongoza kwa fursa zaidi barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani