KUSAYA: VIJANA JIFUNZENI KILIMO BIASHARA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akikagua kitalu nyumba kilichopandwa nyanya na vijana walliopo katika Kituo Atamizi cha Vijana kujifunza Kilimobiashara chini ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine mjini Morogoro.
Kijana Hefsida Olloo (Kushoto)akitoa maelezo ya nanma alivyofanikiwa kuzalisha nyanya katika kitalu kwenye kambi Atamizi ya SUA .Hefsida ni mhitimu wa Shahada ya Sayansi katika Hisabati toka Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka 2018 aliyeamua kufanya kilimo biashara.Kulia ni Katibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWATUMISHI WIZARA YA KILIMO CHAPENI KAZI KWA WELEDI-KM KUSAYA
Menejimenti ya Wizara ya Kilimo imetakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi katika kutekeleza maagizo ya Rais kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uhakika wa chakula.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya wakati wa hafla ya makabidhiano rasmi ya ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Mhandisi Mathew Mtigumwe yaliyofanyika makao makuu ya wizara Mtumba mkoani Dodoma na kuhudhuriwa na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya wizara.
Kusaya alisema wizara ya kilimo ina...
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ziarani Tanga
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziKUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA NCHINI
Na Bashiri Salum,Morogoro.
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini.
Akizungumza na watumishi leo alipotembelea taasisi hiyo Katibu Mkuu Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema ASA ni Taasisi pekee ya mbegu nchini hivyo inatakiwa kuwafika wakulima wote nchini.
Huduma ya mbegu bora inatakiwa na kilia mkulima hivyo ni lazima ASA wafikirie namna ya kushusha huduma zao chini kwa wakulima...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli, amemuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama...
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA BW. GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
ais wa Jamhuri ya...
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Pinda ahimiza kilimo cha biashara
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka watanzania kutumia kilimo cha biashara kwa umakini ili kukuza uchumi wa nchi. Pinda, aliyasema hayo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa kujadili masuala...