RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020 Rais wa Jamhuri ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA BW. GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020
ais wa Jamhuri ya...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
IKULU, Dar es Salaam
Rais Dk. John Magufuli, amemuapisha Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Mkuu, Viongozi Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama...
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KIMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Juni 2020.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Idd Hassan Kimanta akila kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare...
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AMUAPISHA IDD HASSAN KAMANTA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
IKULU, Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Juni, 2020 amemuapisha Bw. Idd Hassan Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Hafla ya uapisho huo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo pia Mhe. Rais Magufuli na...
5 years ago
MichuziKatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya ziarani Tanga
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILALA AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII LEO
9 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu...