Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA WASHAURIWA KUJIKITA KATIKA KILIMO CHA ROZELA


Janeth Maro akielezea namna ambavyo wanaandaa mbolea ambayo si ya kemikali kwa ajili ya kuweka kwenye mazao mbalimbali
Moja ya bwawa kubwa la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 12 kwa ajili ya kumwagilia mazao yaliwepo kwenye Kituo cha Utafito cha SAT
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akionesha miti ambayo inatumika kurejesha rotuba kwenye ardhi ili mazao yanayopandwa yaweze kustawi

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Janeth Maro akifafanua jambo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WASHAURIWA KULIMA KILIMO CHA MATONE BADALA YA KILIMO CHA MAZOEA KINACHOHARIBU MAZINGIRA


 Na Pamela Mollel, Arusha.

KUELEKEA kilele Cha maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika Juni 5  ya kila mwaka wananchi wameshauriwa kulima kilimo cha matone badala ya kilimo cha mazoea ambacho kimekuwa kikiharibu mmomonyoko wa ardhi na kusabisha uharibifu wa mazingira

Hayo yameelezwa leo Juni 4,2020 na Meneja wa NEMC Kanda ya Kaskazini Lweis Nzali alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amewaomba kutumia vyombo vya habari kuelimisha wananchi kuhusu matumizi ya...

 

5 years ago

Michuzi

MASAWE -WAKULIMA WAJIKITE KATIKA KILIMO CHA TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KIPATO CHAO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA 
WAKULIMA nchini wametakiwa watumie soko la Afrika Mashariki kwa kulima kilimo chenye tija na kutumia teknolojia mpya za kisasa huku wakiaswa kuachana na kilimo cha mazoea cha kujikimu ambacho hakiwaletei faida. 
Hayo yalisemwa mjini Kibaha na mkurugenzi wa shamba darasa lililopo wilaya Kibaha mkoani Pwani Ephrahim Masawe na kuongeza kuwa soko hilo ndilo litakaloinua uchumi wao kwani linafaida kubwa. 
Jambo kubwa ni kutumia mbegu bora na kutumia teknolojia mpya ikiwemo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watendaji, watumishi wa umma watakiwa kujikita kwenye kilimo cha biashara

DSC03705

Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Singida, Joseph Sabore, akitoa ufafanuzi wa ajenda zilizokuwa zikiwasilishwa mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Singida, Elia Didha na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi na wa kwanza kulia ni katibu CCM wilaya ya Singida.

Na Nathaniel Limu, Singida

KAIMU mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Singida, Elia Digha, amewahimiza watendaji kujenga utamaduni wa kujishughulisha...

 

9 years ago

Mwananchi

Wakulima wadogo wamtaka Magufuli kuwekeza katika kilimo

Wazalishaji na wakulima wadogo nchini wamemtaka Rais John Magufuli, kuwekeza katika kilimo ili kukamilisha kaulimbiu yake ya Tanzania yenye viwanda pamoja na kutekeleza sera za kilimo chenye tija.

 

11 years ago

Mwananchi

Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati

“Kabla ya kujishughulisha na kilimo cha ufuta, nilikuwa na hali ngumu kiuchumi, nilikuwa nalima karanga na pamba, ila sasa nalima ufuta na nimejenga nyumba bora ya kisasa, nafuga ng’ombe, kuku na kusomesha watoto.”

 

10 years ago

StarTV

Wakulima Zanzibar furahia kilimo cha Alizeti.

Na Abdalla Pandu, Zanzibar.

 

 

Wakulima visiwani Zanzibar wameonesha furaha yao baada ya kufanikiwa katika kilimo kipya cha Alizeti ambacho kinaaminika kitakuwa mkombozi kwao na Taifa kwa ujumla kutokana na muda mrefu kutegemea zaidi zao la Karafuu na Nazi kama mazao makuu ya biashara.

 

Zao la Alizeti kwa Zanzibar limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima hali ambayo itawawezesha kukabiliana na umasikini.

 

Licha ya faraja...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima waambiwa waachane na kilimo cha mazoea

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira.KITUO cha Utafiti na Mabadiliko ya Tabia Nchi (CCCS) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimewatahadharisha wakulima nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto

Wakulima nchini wametakiwa kujikita kwenye kilimo mseto ili kuongeza tija ya uzalishaji, hatua ambayo itasaidia kuinua kipato

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA PARACHICHI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu mitambo inayotumika kutengeneza na kusaga zao la parachichi kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa kiwanda cha Olivado Bw. Ngukula Lihuluku wakati wa ziara yake katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe.Meneja Uzalishaji wa kiwanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani