Watendaji, watumishi wa umma watakiwa kujikita kwenye kilimo cha biashara
Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Singida, Joseph Sabore, akitoa ufafanuzi wa ajenda zilizokuwa zikiwasilishwa mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Singida, Elia Didha na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi na wa kwanza kulia ni katibu CCM wilaya ya Singida.
Na Nathaniel Limu, Singida
KAIMU mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Singida, Elia Digha, amewahimiza watendaji kujenga utamaduni wa kujishughulisha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...
11 years ago
Habarileo11 Jul
Kilimo sasa kujikita kwenye mashamba ya mpunga, miwa
WIZARA ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, miongoni mwake ikiwa ni kuendeleza mashamba makubwa ya kibiashara kwa mazao ya miwa na mpunga.
5 years ago
CCM BlogMSAJILI MKUU AWATAKA MAWAKILINA WATUMISHI KUJIKITA ZAIDI KWENYE MFUMO WA TEHAMA
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Wilbert Chuma akizungumzia kuhusu matumizi ya mfumo wa kusajili mashauri kwa njia mtandao.
///Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha- Mahakama
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za utoaji haki.
Akizungumza leo ofisini kwake, Msajili Mkuu wa Mahakama...
5 years ago
MichuziWAKULIMA WASHAURIWA KUJIKITA KATIKA KILIMO CHA ROZELA
Janeth Maro akielezea namna ambavyo wanaandaa mbolea ambayo si ya kemikali kwa ajili ya kuweka kwenye mazao mbalimbali
Moja ya bwawa kubwa la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 12 kwa ajili ya kumwagilia mazao yaliwepo kwenye Kituo cha Utafito cha SAT
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akionesha miti ambayo inatumika kurejesha rotuba kwenye ardhi ili mazao yanayopandwa yaweze kustawi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Janeth Maro akifafanua jambo...
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia miiko na maadili
NA KHADIJA MUSSA
MWENYEKITI wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Dk. Stephen Bwana, amewataka watumishi wa umma kujiepusha na ushabiki wa siasa za mpito, badala yake wazingatie katiba, miiko na maadili ya utumishi wa umma.
Alisema kuna upungufu katika uzingatiaji wa maadili, hivyo aliwataka watumishi hao kubadilika na kutojihusisha na ushabiki wa siasa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu kwani hakuna nchi duniani, ambayo watumishi wake hawazingatii maadili.
Pia aliahidi...
9 years ago
MichuziWatumishi wa Umma watakiwa kushiriki zoezi la usafi disemba 9
Serikali imewaagiza watumishi wa umma kushiriki zoezi la usafi wa nchi litakalofanyika tarehe 9 disemba mwaka huu katika maeneo yao wanaoishi.
Agizo hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw Assah Mwambene alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijin Dar es salaam na kusema kwamba Watumishi wa Umma wanatakiwa wabaki nyumbani na kufanya usafi katika maeneo yao na yale watakayo pangiwa na viongozi wa mitaa wanayoishi.
“Kila mwananchi ahakikishe...
9 years ago
StarTV15 Dec
Watumishi wa umma watakiwa kujitathmini ili kuendana na Kasi Ya Dokta Magufuli
Watumishi wa umma wametakiwa kujitafakari na kujipima kama wanatosha kufanyakazi, itakayoendana na kasi ya uongozi uliopo madarakani chini ya Rais Magufuli, na wanapogundua kuwa hawana uwezo huo wameshauriwa kujiondoa wenyewe ili kupisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi.
Nguvu ya utendaji kazi wa Dokta Magufuli kwa muda usiozidi miezi miwili, umekonga nyoyo za watanzania ambapo wananchi wengi wameweka bayana mambo wanayoyatarajia kuyaona katika Tanzania mpya wanayodhani itawajengea imani ...
9 years ago
MichuziWATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART
10 years ago
Tanzania Daima20 Nov
Kiwango cha mshahara watumishi wa umma chapanda
WASTANI wa malipo ya mshahara kwa watumishi wa umma umeongezeka kutoka wastani wa mshahara wa sh. 74,183 mwaka 2001 hadi 562,119 mwaka 2014. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri...