Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima Zanzibar furahia kilimo cha Alizeti.

Na Abdalla Pandu, Zanzibar.

 

 

Wakulima visiwani Zanzibar wameonesha furaha yao baada ya kufanikiwa katika kilimo kipya cha Alizeti ambacho kinaaminika kitakuwa mkombozi kwao na Taifa kwa ujumla kutokana na muda mrefu kutegemea zaidi zao la Karafuu na Nazi kama mazao makuu ya biashara.

 

Zao la Alizeti kwa Zanzibar limeonekana likinawiri kwa kiwango kikubwa hatua inayowajengea matumaini ya kuinua kipato cha wakulima hali ambayo itawawezesha kukabiliana na umasikini.

 

Licha ya faraja...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimo cha alizeti na faida zake

ALIZETI ni miongoni mwa mazao yanayotoa mbegu za mafuta. Kwa matumizi mengine, hutumika kama chakula cha mifugo. Mashuddu yake yanarutubisha sana kiafya mifugo, ikilinganishwa na utengenezaji wa mafuta ya kula...

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima waambiwa waachane na kilimo cha mazoea

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira.KITUO cha Utafiti na Mabadiliko ya Tabia Nchi (CCCS) cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimewatahadharisha wakulima nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kilimo cha ufuta chawainua wakulima Babati

“Kabla ya kujishughulisha na kilimo cha ufuta, nilikuwa na hali ngumu kiuchumi, nilikuwa nalima karanga na pamba, ila sasa nalima ufuta na nimejenga nyumba bora ya kisasa, nafuga ng’ombe, kuku na kusomesha watoto.”

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima nchini waaswa kutumia kilimo cha mseto

Wakulima nchini wametakiwa kujikita kwenye kilimo mseto ili kuongeza tija ya uzalishaji, hatua ambayo itasaidia kuinua kipato

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KILIMO CHA PARACHICHI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akipata maelezo kuhusu mitambo inayotumika kutengeneza na kusaga zao la parachichi kutoka kwa Meneja Uzalishaji wa kiwanda cha Olivado Bw. Ngukula Lihuluku wakati wa ziara yake katika kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Wanging’ombe Mkoani Njombe.Meneja Uzalishaji wa kiwanda...

 

5 years ago

Michuzi

WAKULIMA WASHAURIWA KUJIKITA KATIKA KILIMO CHA ROZELA


Janeth Maro akielezea namna ambavyo wanaandaa mbolea ambayo si ya kemikali kwa ajili ya kuweka kwenye mazao mbalimbali
Moja ya bwawa kubwa la maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita milioni 12 kwa ajili ya kumwagilia mazao yaliwepo kwenye Kituo cha Utafito cha SAT
Mkurugenzi Mtendaji wa SAT Janeth Maro akionesha miti ambayo inatumika kurejesha rotuba kwenye ardhi ili mazao yanayopandwa yaweze kustawi

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) Janeth Maro akifafanua jambo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima Liwale kunufaika na mbegu za alizeti, ufuta

Chama cha Kuuza na Kununua Mazao cha Umoja, kilichopo wilayani Liwale, Mkoa wa Lindi kimeanza kutekeleza mradi wa kugawa mbegu za alizeti na ufuta kwa wakulima zaidi ya 700 zenye thamani ya Sh6 milioni.

 

9 years ago

StarTV

Uendeshaji Kilimo Cha Tumbaku Wakulima walalamikia makato ya ushuru

Wakulima wa zao la tumbaku nchini, wamelalamikia serikali juu ya makato makubwa  ya ushuru wanaokwata katika zao hilo, lakini mwisho wa siku hakuna fedha zinazorudishwa katika kuwasaidia wakulima hao hatua inayowafanya kuendesha kilimo hicho kwa shida.

 

Wakulima hao wamesema bado  kuna matatizo mengi yanayowakabili na serikali haijaamua kuyafanyia kazi, ikiwemo suala la makampuni yanayonunua zao hilo, kuwakata kilo za tumbaku, ambazo huwa tofauti na wanazokubaliana kununua.

 

Zao la tumbaku...

 

11 years ago

Mwananchi

Watafiti kuwatenga wakulima chanzo cha kilimo duni, umaskini

Serikali na taasisi mbalimbali za kilimo zimekuwa zikifanya utafiti wa kilimo na mazao kwa lengo la kuboresha kilimo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani