Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIRIKA LA KILIMO ENDELEVU TANZANIA LAKAMILISHA MTALAA MPYA WA KILIMO,VYUO 29 KUANZA KUUTUMIA

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii 
SHIRIKA la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) likamilisha mtaala mpya wa kilimo ambao unatarajiwa kuanza kutumia kwenye vyuo vya mafunzo ya kilimo 29 nchini ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha mtaala huo unaendana na mahitaji ya sasa. 
Akizungumza na waandishi wa habari za kilimohai wakati wa mafunzo maalumu ya kilimo hicho, Meneja wa Mradi wa SAT Mgeta Daud amesema mtaala huo wameufanikisha kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Divisheni ya Mafunzo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘CCM imehakikisha kilimo endelevu’

MKUU wa mkoa huu, Dk Rajab Rutengwe amesema katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliweka kipaumbele cha kuhakikisha kilimo kinakuwa endelevu na chenye tija ili kuliwezesha taifa kujitosheleza kwa chakula na kuongeza mapato ya wakulima wadogo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Helvetas Swiss Intercooperation Tanzania lashauri uvunaji wa maji ya mvua kusaidia kilimo cha umwagiliaji Mkoani Singida

IMG_1760 (1)

Afisa tathimini wa shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania, Shoma Nangale, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika juzi mjini hapa.Shoma ametoa wito kwa halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mikakati ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji cha mboga mboga.(Picha  na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zimehimizwa kuweka mikakati...

 

9 years ago

MillardAyo

Saa 48 zilizotangazwa na waziri mpya wa kilimo Tanzania …

Ikiwa bado siku moja zitimie siku saba toka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la Mawaziri, tayari mawaziri waliotangazwa tumeona wakichapa kazi na kwenda sambamba na sera ya Hapa Kazi Tu!!!. December 16 zilikuwa ni headlines za waziri wa kilimo uvuvi na mifugo Mwigulu Nchemba kufanya ziara ya […]

The post Saa 48 zilizotangazwa na waziri mpya wa kilimo Tanzania … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

CCM Blog

VYUO VYA MAFUNZO YA KILIMO (MATIs) VIMEFUNGULIWA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Ndugu Gerald M. Kusaya anawatangazia wanachuo na wakufunzi kuwa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo (MATI) vimefunguliwa rasmi tarehe 01 Juni, 2020 kufuatia agizo la Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli alilotoa tarehe 21 Mei, 2020.
Wanafunzi wote wa Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo nchini wanatakiwa kuendelea kuripoti vyuoni kwa ajili ya kuendelea na masomo yao. Wizara inawataka wanafunzi wote kuhakikisha wanakuwepo vyuoni ifikiapo tarehe 08 Juni, 2020 na itakapofika tarehe 10...

 

5 years ago

Michuzi

VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche bora wa mchikichi aina ya Tenera unaozalishwa katika shamba la Wakala wa Mbegu (ASA) kituo cha Bugaga wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma hivi leo.  (Habari na Picha Wizara ya Kilimo) .

Katibu Mkuu Wizara ya Killimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa suti ya blu ) akiongea na Askari na Maafisa wa JKT Bulombora Kigoma alipotembelea kukagua utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu kuhusu uzalishaji miche bora ya zao la mchikichi.
Katibu ...

 

11 years ago

Michuzi

WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza wakati akifungua warsha kwa wataalamu wa kilimo katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Makete hii leo.  Mwezeshaji kutoka shirika ka TAHA Bw. Isaac Ndamanhyilu akizungumza kwenye warsha hiyo.  Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wataalamu wa kilimo wa kata na vijiji vya wilaya ya Makete.  Wataalamu wakifuatilia mafunzo hayo.   Mwezeshaji Manfred Bitala akiwawezesha washiriki wa warsha hiyo. Na Edwin...

 

9 years ago

Mwananchi

Shirika kuwawezesha wanawake kilimo cha mboga

Shirika lisilo la kiserikali la Helveras Tanzania linatarajia kutumia zaidi ya Sh2.7 bilioni kugharimia mradi wa kuwawezesha wanawake katika kilimo cha mbogamboga na masoko ulioanza mwaka huu unaotarajiwa kumalizika 2017.

 

5 years ago

Michuzi

WAHITIMU WA VYUO VYA KILIMO WATAKIWA KUANZISHA MASHAMBA YA MFANO,KUELIMISHA WAKULIMA





Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Omari Mgumba akikagua bidhaa za sola power kutoka  kampuni ya Poa Portable Power wakati wa kongamano la vijana lililofanyika Mkoani Arusha katika ukumbi wa Golden Rose hivi karibuni kushoto ni muoneshaji bwana Emanuel Godwin wa kampuni hiyo.Naibu Waziri Kilimo Mhe. Omari Mgumba akihutubia vijana wakulima wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani