Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30

>Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya viroba 30 yenye uzito wa kilo 30.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Adaiwa kubeba kilo 22 za mirungi JNIA

Jeshi la Polisi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), limemkamata raia wa Uingereza, Faiz Abdullah Ali (55) kwa tuhuma za kukutwa na kilo 22 za dawa za kulevya aina ya mirungi ikiwa imefungwa kwenye kanga na kuhifadhiwa ndani ya mabegi mawili.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi Tanga wakamata kilo 462 za mirungi

JESHI la Polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusafirisha kilo 462 za mirungi. Watuhumiwa hao ni dereva wa lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 860 BYQ, mkazi wa Kibaha Picha ya Ndege Alois na mkazi wa Mbauda mkoani Arusha, Rashid Juma (22).

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 3 wakamatwa wakisafirisha Miraa UK

Polisi wamewakamata wanawake watatu raia wa Indonesia katika uwanja wa ndege wa Moi mjini Mombasa Kenya wakisafirisha miraa

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva Mwananchi wakamatwa na mirungi

Polisi mkoani Iringa wanawashikilia watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

 

10 years ago

Bongo5

Baghdad: Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80 (Picha)

Rapper na mtangazaji wa kituo cha EFM, Baghdad amepunguza takriban nusu ya uzito wake. Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80! Baghdad enzi akiwa mnene Baghdad alivyo sasa “Yaweza kukuchukua muda kuelewa ka ukielewa ukasindwa kuamini haswa utakapostaajabu kuona picha mbili za mtu mmoja. Nilikuwa na kilo 150 now 80, size […]

 

5 years ago

Michuzi

KILO YA UFUTA YANUNULIWA KWA BEI YA JUU YA SH.2,172 KWA KILO-NDIKILO

 Na Mwamvua Mwinyi, PwaniMKOA wa Pwani ,umefanya mnada wa kwanza wa zao la kibiashara la ufuta ,na kufanikiwa kuu tani 1,231 kati ya tani 3,118 zilizokwenda sokoni kwa bei ya juu ya sh.2,172 kwa kilo moja.
Tani zilizokwenda sokoni zimenunuliwa kupitia mfumo wa sanduku (box) kwa wateja watatu waliojitokeza tofauti na matarajio ya wengi kuwa tani nyingi zingenunuliwa kupitia mfumo wa kielektronik wa TMX ambapo amejitokeza mteja mmoja kwa mkoa wa Pwani kwa bei ya sh.1,952 ukilinganisha na minada...

 

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanaswa wakisafirisha bangi kwenye basi

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watano kwa kosa la kukutwa wakisafirisha bangi magunia matano katika gari la abiria aina ya Toyota Coaster. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini...

 

10 years ago

Habarileo

5 kizimbani wakisafirisha dawa za kulevya za mabilioni

WATU watano akiwemo raia wa Uingereza wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa wakisafirisha gramu 2870.781.36 za dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani