Baghdad: Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80 (Picha)
Rapper na mtangazaji wa kituo cha EFM, Baghdad amepunguza takriban nusu ya uzito wake. Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80! Baghdad enzi akiwa mnene Baghdad alivyo sasa “Yaweza kukuchukua muda kuelewa ka ukielewa ukasindwa kuamini haswa utakapostaajabu kuona picha mbili za mtu mmoja. Nilikuwa na kilo 150 now 80, size […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboDkt Mwele: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa mtafiti hadi mwanasayansi wa kimataifa hadi mwania #Urais2015
5 years ago
MichuziKILO YA UFUTA YANUNULIWA KWA BEI YA JUU YA SH.2,172 KWA KILO-NDIKILO
Tani zilizokwenda sokoni zimenunuliwa kupitia mfumo wa sanduku (box) kwa wateja watatu waliojitokeza tofauti na matarajio ya wengi kuwa tani nyingi zingenunuliwa kupitia mfumo wa kielektronik wa TMX ambapo amejitokeza mteja mmoja kwa mkoa wa Pwani kwa bei ya sh.1,952 ukilinganisha na minada...
11 years ago
MichuziSALAMU ZA EID KUTOKA KWA PAPAAA HASSANI KANIKI MUTU YA KILO YA TRANSHPOO
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mtazamo wao ni kuwa miamba iligongana kwa pamoja na kuunda miamba mikubwa hadi kuwa sayari
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Kilo 10 ya vilipuzi zilitumika Tunisia
9 years ago
GPLAMANDA APUNGUA KILO 11 MWILINI
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Watatu wanaswa na kilo 8 za ‘unga’
11 years ago
Habarileo09 Jan
Kilo 65 za cocaine zakamatwa KIA
DAWA za kulevya aina ya cocaine zaidi ya kilo 65, zimekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mwaka jana. Mbali ya kukamatwa kwa dawa hizo katika kipindi hicho cha mwaka mmoja, pia wafanyakazi wa uwanja huo wa Kampuni ya Kadco, walikamatwa na bangi yenye uzito wa kilo 7.7 iliyokuwa ikisafirishwa kwenda nchini Uturuki.
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30