Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilo 10 ya vilipuzi zilitumika Tunisia

Ukanda wenye kilo kumi ya vilipuzi ndio uliotumika katika shambulizi dhidi ya walinzi wa rais nchini Tunisia takriban watu 12 walikufa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Baghdad: Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80 (Picha)

Rapper na mtangazaji wa kituo cha EFM, Baghdad amepunguza takriban nusu ya uzito wake. Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80! Baghdad enzi akiwa mnene Baghdad alivyo sasa “Yaweza kukuchukua muda kuelewa ka ukielewa ukasindwa kuamini haswa utakapostaajabu kuona picha mbili za mtu mmoja. Nilikuwa na kilo 150 now 80, size […]

 

5 years ago

Michuzi

KILO YA UFUTA YANUNULIWA KWA BEI YA JUU YA SH.2,172 KWA KILO-NDIKILO

 Na Mwamvua Mwinyi, PwaniMKOA wa Pwani ,umefanya mnada wa kwanza wa zao la kibiashara la ufuta ,na kufanikiwa kuu tani 1,231 kati ya tani 3,118 zilizokwenda sokoni kwa bei ya juu ya sh.2,172 kwa kilo moja.
Tani zilizokwenda sokoni zimenunuliwa kupitia mfumo wa sanduku (box) kwa wateja watatu waliojitokeza tofauti na matarajio ya wengi kuwa tani nyingi zingenunuliwa kupitia mfumo wa kielektronik wa TMX ambapo amejitokeza mteja mmoja kwa mkoa wa Pwani kwa bei ya sh.1,952 ukilinganisha na minada...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wanasa vilipuzi Uganda

Polisi nchini Uganda wamenasa vilipuzi na washukiwa 19 kufuatia jaribio la shambulizi la kigaidi.

 

5 years ago

Michuzi

KARIA: FEDHA ZILIZOTOLEWA NA RAIS MAGUFULI ZILITUMIKA KWENYE MAANDALIZI YA AFCON (U-17)


Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV

Rais wa Shirikisho la Kandanda nchini (TFF), Wallace Karia amefafanua kuwa fedha takriban Bilioni 1 za Kitanzania zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli zilitumika katika maandalizi ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana (AFCON U-17) zilizofanyika hapa nchini April, 2019.

Kupitia Kipindi cha Jaramba kinachorusha na Chaneli ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1), Rais Karia amethibitisha ni kweli walipewa fedha...

 

9 years ago

GPL

AMANDA APUNGUA KILO 11 MWILINI

Mwandishi wetu MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikondesha makusudi na kufanikiwa kupunguza kilo 11 mwilini. Akizungumza na mwanahabari wetu, Amanda alisema baada ya kuona mwili unazidi kunenepa na ‘ubonge nyanya’ unamnyima uhuru, aliamua kutafuta ‘gym’ mitaa ya nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar ambayo ilimsaidia kufanya mazoezi pamoja na vyakula maalum ambavyo vilichangia kwa kiasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wanaswa na kilo 8 za ‘unga’

Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, kimewakamata watu watatu katika matukio tofauti wakituhumiwa kukutwa na kilo 8.6 za dawa za kulevya zilizowekwa kwenye mabegi la nguo.

 

11 years ago

Habarileo

Kilo 65 za cocaine zakamatwa KIA

DAWA za kulevya aina ya cocaine zaidi ya kilo 65, zimekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mwaka jana. Mbali ya kukamatwa kwa dawa hizo katika kipindi hicho cha mwaka mmoja, pia wafanyakazi wa uwanja huo wa Kampuni ya Kadco, walikamatwa na bangi yenye uzito wa kilo 7.7 iliyokuwa ikisafirishwa kwenda nchini Uturuki.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakamatwa wakisafirisha mirungi kilo 30

>Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya mirungi ndani ya viroba 30 yenye uzito wa kilo 30.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wakamata kilo 201 za Heroin

RAIA 12 kutoka katika nchi mbili tofauti, wanashikiliwa Polisi kwa kukutwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kilogramu 201, kupitia baharini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani