Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AMANDA APUNGUA KILO 11 MWILINI

Mwandishi wetu MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikondesha makusudi na kufanikiwa kupunguza kilo 11 mwilini. Akizungumza na mwanahabari wetu, Amanda alisema baada ya kuona mwili unazidi kunenepa na ‘ubonge nyanya’ unamnyima uhuru, aliamua kutafuta ‘gym’ mitaa ya nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar ambayo ilimsaidia kufanya mazoezi pamoja na vyakula maalum ambavyo vilichangia kwa kiasi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Baghdad: Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80 (Picha)

Rapper na mtangazaji wa kituo cha EFM, Baghdad amepunguza takriban nusu ya uzito wake. Kutoka kuwa kibonge mwenye kilo 150 hadi kuwa na kilo 80! Baghdad enzi akiwa mnene Baghdad alivyo sasa “Yaweza kukuchukua muda kuelewa ka ukielewa ukasindwa kuamini haswa utakapostaajabu kuona picha mbili za mtu mmoja. Nilikuwa na kilo 150 now 80, size […]

 

5 years ago

Michuzi

KILO YA UFUTA YANUNULIWA KWA BEI YA JUU YA SH.2,172 KWA KILO-NDIKILO

 Na Mwamvua Mwinyi, PwaniMKOA wa Pwani ,umefanya mnada wa kwanza wa zao la kibiashara la ufuta ,na kufanikiwa kuu tani 1,231 kati ya tani 3,118 zilizokwenda sokoni kwa bei ya juu ya sh.2,172 kwa kilo moja.
Tani zilizokwenda sokoni zimenunuliwa kupitia mfumo wa sanduku (box) kwa wateja watatu waliojitokeza tofauti na matarajio ya wengi kuwa tani nyingi zingenunuliwa kupitia mfumo wa kielektronik wa TMX ambapo amejitokeza mteja mmoja kwa mkoa wa Pwani kwa bei ya sh.1,952 ukilinganisha na minada...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kemikali mwilini mwako II

PUFF, ni neno la kiingereza likimaanisha aidha ‘…kuvuta hewa kwenda ndani ya mwili wako na hata kutoa nje wakitumia sentensi isemayo "…puff out".  Nimeliandika hivyo kwani limezoeleka kwa wavutaji wengi...

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini

Mwili wa binadamu umesheheni vitu vingi sana, lakini moja ya vitu vinavyoshangaza ni damu. Kiungo hiki ni moja ya ogani ya mwili ya kipekee ambayo ipo katika maumbile ya kimiminika

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini (4)

Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali. Magonjwa yanayoathiri utendaji wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani.

 

11 years ago

Mwananchi

Maajabu ya damu mwilini (5)

Baada ya kuona jinsi ugonjwa wa selimundu unavyotokea na namna unavyoweza kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine, katika sehemu hii ya tano utafahamu dalili, namna inavyochunguzwa na suala la matibabu.

 

11 years ago

GPL

SIRI YA KUONDOA KOLESTRO MWILINI

KWA kuzingatia kwamba wenye lehemu nyingi mwilini (Bad High Cholestol) huwa katika hatari zaidi ya kupatwa na magonjwa ya moyo, ikiwemo kupooza (stroke), suala la kuhakikisha mwili wako unakuwa na kiwango cha mafuta kinachotakiwa ni la lazima. Siri ya kujiepusha na magonjwa hayo iko kwenye chakula, hususan mboga na matunda, ambayo nimeyaorodhesha katika makala haya ya leo, kama ifuatavyo: CHAI YA KIJANI (GREEN TEA)
Ingawa hata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matunda na faida zake mwilini

AFRIKA imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi, ikiwa ni urithi tangu enzi na enzi. Pamoja na bara hili kujaa vyakula vyote vinavyohitajika na wanadamu, bado uhai wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani