Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matunda na faida zake mwilini

AFRIKA imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi, ikiwa ni urithi tangu enzi na enzi. Pamoja na bara hili kujaa vyakula vyote vinavyohitajika na wanadamu, bado uhai wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIJUE VYAKULA BORA NA FAIDA ZAKE MWILINI

TUNAAMBIWA kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo, nitakuorodhoshea baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods) ambavyo faida zake mwilini zimeanishwa. Kwa mlaji, linakuwa...

 

11 years ago

GPL

VIJUE VYAKULA BORA NAFAIDA ZAKE MWILINI

Makala haya tumerudia kutokana na sababu maalum na inaangalia vyakula muhimu na umuhimu wake katika ustawi wa afya zetu. Kumbuka chakula ni uhai, lakini pia chaweza kuwa sumu kama hakiliwi ipasavyo. Vitunguu saumu. KITUNGUU SAUMU
Hiki ni kiungo cha mboga, licha ya kuonekana kama ni kiungo cha kuongezea ladha ya chakula, lakini ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa katika afya zetu. Kitunguu saumu husaidia kuyeyusha damu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka na faida zake 10

KAMPUNI ya Msama Promotions imeanza harakati za maandalizi ya Tamasha la Pasaka la mwaka huu, likifanyika kwa mara ya 14 tangu kuasisiwa kwake mwaka 2000, likibeba malengo 10, kubwa likiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimo cha alizeti na faida zake

ALIZETI ni miongoni mwa mazao yanayotoa mbegu za mafuta. Kwa matumizi mengine, hutumika kama chakula cha mifugo. Mashuddu yake yanarutubisha sana kiafya mifugo, ikilinganishwa na utengenezaji wa mafuta ya kula...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimishaji biashara na faida zake kiuchumi

UCHUMI wa Tanzania umeelezwa kuimarika huku pato laifa likikuwa kwa asilimia 7, lakini ukuaji huo hauna matokeo chanya kwa mwananchi. Moja ya sababu kubwa ni kwamba watu wengi hawajarasimisha rasilimali...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uwekezaji UTT AMIS na faida zake

WATANZANIA wengi wamepata mwamko wa kuwekeza fedha zao katika biashara mbalimbali lengo likiwa ni kujiongezea kipato na pia kuiongezea thamani fedha yao katika mzunguko. Katika makala haya, Mwandishi Wetu amefanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Apple kidedea katika faida zake

Kampuni ya kutengeza vifaa vya elektroniki, Apple, imetangaza kupata faida ya dola bilioni 18.8 katika kipindi cha miezi minne ya mwisho mwaka jana na kuifanya kuwa kampuni ya umma iliyopata faida kubwa zaidi duniani.

 

11 years ago

Mwananchi

Yajue mazoezi ya kutembea na faida zake

Mtindo wa maisha unawafanya wengi kutumia magari au usafiri wa aina nyingine hata katika eneo la umbali mfupi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mazoezi yamfaayo mtoto mchanga, faida zake

>Ni kazi ngumu kumlea mtoto tangu anapozaliwa hadi kupevuka.Hata hivyo, malezi bora kwa watoto wachanga ni mkusanyiko wa mambo mengi yakiwemo lishe bora, malazi mavazi na tiba na kinga ya maradhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani