Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJUE VYAKULA BORA NAFAIDA ZAKE MWILINI

Makala haya tumerudia kutokana na sababu maalum na inaangalia vyakula muhimu na umuhimu wake katika ustawi wa afya zetu. Kumbuka chakula ni uhai, lakini pia chaweza kuwa sumu kama hakiliwi ipasavyo. Vitunguu saumu. KITUNGUU SAUMU
Hiki ni kiungo cha mboga, licha ya kuonekana kama ni kiungo cha kuongezea ladha ya chakula, lakini ni miongoni mwa vyakula vyenye faida kubwa katika afya zetu. Kitunguu saumu husaidia kuyeyusha damu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VIJUE VYAKULA BORA NA FAIDA ZAKE MWILINI

TUNAAMBIWA kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo, nitakuorodhoshea baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods) ambavyo faida zake mwilini zimeanishwa. Kwa mlaji, linakuwa...

 

11 years ago

GPL

VYAKULA HAI NA UMUHIMU WAKE MWILINI

NDUGU msomaji. Katika makala zilizopita tuliwahi kuzungumzia jinsi dawa za ‘antibiotic’ zinavyoendelea kukosa umaarufu. Tuliongelea sababu zake na tukaweka wazi suluhisho kwa kipindi hiki cha mpito ni kuupa mwili mlo sahihi ili kujijengea wenyewe kinga na tiba ya maradhi takribani yote duniani. Wasomaji wengi walipiga simu wakitaka kujua mlo sahihi ni upi hasa. Kula vyakula vyenye asili ya mimea na hasa vile ambavyo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Vyakula unavyohitaji kuimarisha kinga yako mwilini

Virusi vya corona Covid-19 vimefanya uharibifu katika kila sekta ya maisha yetu duniani kuanzia China, Marekani bara Asia hadi Afrika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matunda na faida zake mwilini

AFRIKA imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi, ikiwa ni urithi tangu enzi na enzi. Pamoja na bara hili kujaa vyakula vyote vinavyohitajika na wanadamu, bado uhai wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajawazito Zanzibar washahuriwa kutumia vyakula vyenye lishe bora

02 (2)

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo.

Na Abdulla Ali na Mwanaisha Moh’d Maelezo-Zanzibar       

Kina mama wajawazito wameshauriwa kutumia vyakula vyenye Lishe Bora ili kuepukana na matatizo yanayoweza kujitokeza wakati wa kujifungua kwao.

Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.  Mahmoud Thabit  Kombo wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi Mhe. Saleh Nassor Juma katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.

Amesema...

 

10 years ago

Mwananchi

Nani anajali matumizi ya vyakula bora kwa wanafunzi shuleni?

Sanura Bushiri (jina sio lake) anasoma darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Majani ya Chai iliyopo Manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mafuta ya kupikia ya MO SAFI kwa mahitaji bora ya vyakula kwenye familia yako!!

11173318_715091675287121_403970394052586402_nBurger bomba  kama hii ya kuvutia iliyotengenezwa kwa mafuta bora ya Mo Safi,  zenye ufahari kutoka MeTL Group.

Je? umeshatumia bidhaa bora kutoka MO!! pata sasa zipo karibu nawe  NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Kampuni ya MeTL Group  imekuwa ni kati ya makampuni bora ndani  na nje ya Tanzania kwa kukuletea bidhaa bora kwa mahitaji sahihi  na ya matumizi na afya yako. Leo kupitia Modewji blog, tunakuletea kwa kifupi namna ya mafuta ya kupikia kutoka MeTL Group, MO Safi yatakavyopendezesha mlo...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA YACHEKELEA TIMU ZAKE KUMALIZA TATU BORA LIGI KUU

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam kimeonesha furaha yake baada ya timu tatu zilizo katika himaya yake, kumaliza katika nafasi za juu kwenye ligi kuu Tanzania bara iliyomalizika jumamosi mei 9,2015.
Kamati ya utendaji ya DRFA chini ya mwenyekiti wake Almas Kasongo,imesema ni jambo la kufurahisha kuona mkoa wa Dar es salaam unafanya vizuri kisoka na kuwa mfano wa kuigwa kwa mikoa mingine.
Timu hizo zimepongezwa kutokana matayarisho waliyoyafanya tangu kuanza kwa msimu,ambapo mabenchi ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Ataja Tano Bora ya Movie Zake Alizocheza Tangu Aingie Kwenye Tasnia

JB alibandika mabandiko haya kwenye ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGRAM.

“Wiki mbili zilizopita niliwapa nafasi ya kuchagua top 3 ya movie zangu.Leo (Juzi) na mimi naanza kuwapa top 5 yangu tangu nianze kuigiza.NAKWENDA KWA MWANANGU no5.Kesho (Jana) nitawatajia no4.halafu mwisho nitawatajia zilizoongoza kwa mauzo”.

Jana: “Tunaendelea na top 5 zangu tangu nianze kuigiza.Namba 4 DJ BEN.Kesho nitakutajia namba tatu.Atakaye pata nitampa zawadi”.

Haya hebu tuzitaje zingine tupate hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani